Ndevu nyeupe

Ndevu nyeupe

Jamani ndugu zangu kwasasa nina mpenzi ananipenda sana nina uhakika wa hilo kwa zaidi ya asilimia 75%. Mimi pia nampenda ila yeye ndio nina uhakika ananipenda zaidi. So kwasasa sihitaji mpenzi wala kutongoza hata kwa majaribio sitaki kabisa.

Main point, nilivutiwa sana na muonekano wa ndevu za muheshimiwa Mbowe kipindi katoka mahabusu, na mwingine aliyenivutia zaidi mpaka na mimi kutamani kufuga ndevu na ziwe nyeupe ni marehemu Mengi (rip). Umri wangu bado sijafikisha miaka 30 je nauliza inawezekana kuwa na ndevu nyeupe vile?.

Kuhusu muonekano sijali maana kama mpenzi tayari ninaye na yeye nilipomshirikisha hili na nikamuonesha picha ya Mbowe akiwa na zile ndevu na nikamuonesha picha ya marehemu Mengi alikubaliana na mimi akasema haina tatizo na kusema kuwa anathamini furaha yangu, ilimradi sivunji sheria ya nchi.

Uzi tayari jamani

Wee ni KE au ME?

Niggas dont cease to amaze me!
 
Weka rangi. Siku ukitaka kutoa rangi unatumia bleach
Rangi za ku dye hazikai zaidi ya week mpaka week2 bora a bleach moja kwa moja rangi nyingi za nywele huku hakuna labda u mix kama uko vizuri kwenye ku mix bleach colors kwa matokeo uyatakayo
 
Kama hizi
IMG_20190421_144949.jpeg
 
Paka rangi hata ya gari mkuu. (joke) subiri ufike hata Fifty hivi ndo unaweza kuziona, na ninasikia kunyoa kutumia magic inaziharakisha
Hahaha naona huu ndio ushauri mzurii inabidi niwe nanyolea ndevu kwamagic ili ziwahi kutoka
 
Nilisikia hizo ndevu nyeupe ni fashion za matajiri sijui ni kweli.
 
Jamani ndugu zangu kwasasa nina mpenzi ananipenda sana nina uhakika wa hilo kwa zaidi ya asilimia 75%. Mimi pia nampenda ila yeye ndio nina uhakika ananipenda zaidi. So kwasasa sihitaji mpenzi wala kutongoza hata kwa majaribio sitaki kabisa.

Main point, nilivutiwa sana na muonekano wa ndevu za muheshimiwa Mbowe kipindi katoka mahabusu, na mwingine aliyenivutia zaidi mpaka na mimi kutamani kufuga ndevu na ziwe nyeupe ni marehemu Mengi (rip). Umri wangu bado sijafikisha miaka 30 je nauliza inawezekana kuwa na ndevu nyeupe vile?.

Kuhusu muonekano sijali maana kama mpenzi tayari ninaye na yeye nilipomshirikisha hili na nikamuonesha picha ya Mbowe akiwa na zile ndevu na nikamuonesha picha ya marehemu Mengi alikubaliana na mimi akasema haina tatizo na kusema kuwa anathamini furaha yangu, ilimradi sivunji sheria ya nchi.

Uzi tayari jamani

Jiingize kwenye matatizo usiyoyaweza, utachanganya akili zako kisha na kuota ndevu nyeupe.
 
Back
Top Bottom