Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Hakuna mwana siasa ndani ya bongo anaye choka madaraka, bali madaraka huwa chokaga wao.Vipi Mzee Ndesa mbona hajazungumzia kung'atuka????
Hakuna mwana siasa ndani ya bongo anaye choka madaraka, bali madaraka huwa chokaga wao.Vipi Mzee Ndesa mbona hajazungumzia kung'atuka????
Kamguse kamanda Ndesa uone mziki wake,unafikiri ni dhaifu kama yule anayeanguka ga majukwaani??Huyu mzee anawatafutia watu kesi ya mauaji, hivi kweli akirushiwa moja ya uso ataamka kweli?
Ni sera gani ya chama inayoelezewa bungeni wewe gamba??Ngumi unaziweza wewe mzee au unataka kuwatafutia watu kesi bungeni mpate pakutokea.
Hivi wananchi wamewachaguwa kwenda bungeni kupigana ngumi.
Badala ya kueleza sera zenu mnaeleza jinsi ya kupigana
ngumi.
Anastahili kupimwa akili mkuu si bure hata kidogo
Huyu mzee anazeeka vibaya sasa anataka watu wapigane ngumi bungeni yeye ataweza kurusha ngumi.
Mkuu hapo kwenye red sijakusoma. Je unaelewa nini maana ya pesa chafu?
Kwenu wapi? Acha wivu. Angekuwa na pesa chafu angeachwa atembee mtaani kwani Serikali inamwogopa? Ukiona bubu kaongea ujue kuna jambo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Na wewe kijana uliye na ubongo uliozeeka vipi?Huyu mzee anazeeka vibaya sasa anataka watu wapigane ngumi bungeni yeye ataweza kurusha ngumi.
Kama ana pesa "chafu" zitakua za kifisadi hizo. Pesa "safi" ndio halalikwetu tunamwita 'NDESA PESA' ana pesa nyingi saaaaaaaana.
Na wewe kijana uliye na ubongo uliozeeka vipi?
We utakua na matatizo ya afya ya akili. Yani uunge mkono upuuzi huu? Haya wakipigana watapata fursa ya kutu wakilisha kiu fasaha? Vijana wa kileo muna tabu aise!naunga mkono hoja, dharau zimezidi sana katika nchi hii.
Hakuna mwana siasa ndani ya bongo anaye choka madaraka, bali madaraka huwa chokaga wao.
Yaani anataka kuligeuza bunge ulingo wa ndondi..! Hakika huyu mzee anazeeka vibaya mno..!
Misamiati mipya kila kukicha ina ibuka "MBAKA" inamaana gani?Hawezi kung'atuka mbaka mkoloni mweusi aondoke!
Siyo kila upuuzi unaosemwa na viongozi wenu unameza tu huyu mzee kwa umri wake hakutakiwa kusema hayo maneno.