Mkuu hapo kwenye red sijakusoma. Je unaelewa nini maana ya pesa chafu?
Hivi kupigana ngumi Bungeni ninjia mojawapo ya kutetea maslahi ya nchi yetu?Mtu kutetea maslahi ya Taifa unataka akapimwe akili? Inatakiwa tushikishane adabu kama Bunge la Ukrain, wabunge wa CCM wanajiona wao ndiyo wenye haki miliki na nchi hii wakati wameshindwa kuleta maendeleo ya maana!
Ndesa, nakuunga mkono inahitajika nidhamu ya kuheshimu maslahi ya nchi siyo chama!
wananchi hatupendi upindishwaji wa kanuni zinazofanywa na spika na naibu wake ili kuilinda ccm na serikali yake, wananchi tuna matatizo makubwa na hoja za msingi eti kwa sababu zimeletwa na wapinzani basi zinapingwa chini -- ni wale tu wafaidikao na mfumo huu ndiyo watakaotetea jambo hili. wabunge wanakwenda bungeni kutetea wananchi / kuisimamia serikali kutimiza majukumu yake; sasa hili nao unataka tukufundishe?We utakua na matatizo ya afya ya akili. Yani uunge mkono upuuzi huu? Haya wakipigana watapata fursa ya kutu wakilisha kiu fasaha? Vijana wa kileo muna tabu aise!
vpi ile hoja yenu ya kutorusha bunge live mmefikia? mnaanda muswaada wa sheria?Maneno kama haya yanapotoka kwa mzee wa Kitanzania, yanaondoka kabisa ile dhana ambayo vijana tumejijengea kuwa UZEE ni kisima cha HEKIMA NA BUSARA.
kumbe kuna wazee wengine nao ni bogus kabisa.
kwetu tunamwita 'NDESA PESA' ana pesa nyingi saaaaaaaana.
Nani amekwambia mimi ni Mbunge.vpi ile hoja yenu ya kutorusha bunge live mmefikia? mnaanda muswaada wa sheria?
Nakubaliana na ulicho sema, ila siungi mkono Bunge letu kuwa kama kilabu cha Gongo (pombe za kienyeji) kinacho wapasa wabunge wetu wapambane kwa hoja zilizo hai, na si vinginevyo. Kurushiana nguvu ni ishara ya utovu wa nidhamu, je italeta suragani pindi Bunge letu likiwa ni lawatovu wa nidhamu? Vijana nchi munaipeleka machafukoni hii!wananchi hatupendi upindishwaji wa kanuni zinazofanywa na spika na naibu wake ili kuilinda ccm na serikali yake, wananchi tuna matatizo makubwa na hoja za msingi eti kwa sababu zimeletwa na wapinzani basi zinapingwa chini -- ni wale tu wafaidikao na mfumo huu ndiyo watakaotetea jambo hili. wabunge wanakwenda bungeni kutetea wananchi / kuisimamia serikali kutimiza majukumu yake; sasa hili nao unataka tukufundishe?
Ungekuwa unasomesha watoto wako shule za kayumba / kata -- ungekuwa na busara
Ungekuwa unategemea watoto wako wakiugua uende mwananyamala au amana hosp. -- ungekuwa na busara
ungekuwa unaishi ubungo, kimara na unanunua dumu moja la maji sh. 500 kila siku - ungekuwa na busara
ungekuwa unaishi chini ya sh. 1000 kama walivyo watanzania zaidi ya 80% ungekuwa na busara
all in all, jifanye hamnazo ili ungange njaa!!! mpo wengi tu katika nchi hii. tena waambie na wenzio msilionyeshe bunge live ili tusijue kinachoendelea humo ndani.
Asante sana mzee wangu kuwaambia ukweli - tena nakumbuka miaka ya nyuma ulishawapasha tena waache tabia ya kuwaibia watanzania maskini, watafute pesa kwa akili na jasho lao -- bado hawajasikia.
Move on ndesa....
mkuu shughulisha ubongo wako kidogo kujaribu kuelewa mantiki nzima ya maoni ya Mh Ndesamburo alipokuwa anajumuisha hoja yake hiyo ili uwafahamishe na wenzako. Changamoto zilizopo kwenye jamii yetu ni nyingi sana ( kiuchumi, kijamii na kisiasa) je zina impact gani ndani ya Bunge?, Je zina impact kwenye usalama wa taifa? nini kufanyike ili kuzikabiri?. Je athari zake ni zipi kama hizi changamoto hazitakuwa addressed kwa wakati muafaka? nani wa kufanya jukumu hilo?Nani amekwambia mimi ni Mbunge.
Kwa kukusaidia nenda kasome kanuni za bunge vifungu vya 44(1), 68(i), 70(4) na cha muhimu zaidi malizia kwa kusoma kifungu cha 103(2) ili upate jibu lako.
Jaribu kuushughulisha angalau kidogo ubongo wako
Huyu mzee anazeeka vibaya sasa anataka watu wapigane ngumi bungeni yeye ataweza kurusha ngumi.
Vipi Mzee Ndesa mbona hajazungumzia kung'atuka????
kaka wanayajua yote haya ila washaona watanzania ndiyo watu wa kujifunzia kunyoa.Hajasema uwongo mzee kama uwongo tafuta clip ya video ya bunge la ukraine uone wabunge wanavyochapana makonde sio hivyo mwaka jana tu kuna mbunge mmoja japani aliingia na explosive akaaiachia bungeni kushindikiza bunge kumsikiliza hata hapa tz ili tuheshimiane bakola lazima ziteembee!!!!!!!.