halafu watoto wake, wakweze wakipewa viti maalum mtalalamika?
halafu watoto wake, wakweze wakipewa viti maalum mtalalamika?
Itakuwa ngumu sana kumlalamikia mfadhili aisee.Ni sawa na CCM wanavyowaonea haya mafisadi(wengi wao ni wafadhili wa chama).....
hili litakuwa ni jibu la wiki! kwani kina Somaia si wameigawia CCM na serikali yake misaada kibao? na kina Rostam na Lowassa je? sasa tunashangaa kwanini kina JK wanashindwa kung'ata? mtu atang'ata mvipi mkono unaomlisha?
Chadema labda wanafuata nyayo tu za CCM...
Mkuu nimekupata,sitaki kuwa negative kwasababu malengo ya choppers hizo ni kuwafikia wananchi na kuwaelimisha kuhusu umuhimu wa mabadiliko ya uongozi kwa muda mfupi iwezekanvyo.
Ukweli ni kwamba "Wadau" wa chama ni lazima wawepo,hata hivyo tatizo ni wadau hao wanapo affect maamuzi muhimu ya viongozi hao....Mkuu MKJJ,ukweli ni kwamba hata hao wadau wa CCM kama kusingekuwa na ufisadi basi ni wazi hakuna ambaye angejisumbua kujiuliza ni kwanini wanachangia massively like the always do ndani ya chama...Mfano wa mchango wa millioni mia nne hivi majuzi kutoka kwa mfadhili wa CCM...Unless kuwe na mabadiliko makubwa,hatuwezi kukwepa kuchagua kati ya wafadhili mafisadi na wale safi ama wenye characteristics za kizalendo,wale wasiofadhili kwa malengo binafsi.
Kwa upande wa Ndesamburo,ameshajitolea mara nyingi tu hata hapo kwenye jimbo lake la moshi mjini,mfano hospital ambulances nk. Alikuwa akijitolea kabla hata hajawa mbunge,hatujui kama atabadilika na kuwa fisadi kama CHADEMA wakifanikiwa kuchukua nchi,kuna wanaosema the same thing will happen kama wakichukua nchi,wanaodai hivyo wanatolea mifano ya kwamba kuna mambo ya undugu ndani ya CHADEMA yanayochochewa na ufadhili wa chama,na kwamba maamuzi yako affected kutokana na hilo,kuna watakaokuja na mfano wa Zitto alipotaka uenyekiti nk.....Ukweli hauwezi kupingika kuwa watanzania watapewa nafasi ya kuchagua either zimwi walijualo ama wasiolijua....Kazi tunayo.
je helkopta ni muhim sana, na inahitajika kwa kampeni za serikali za mitaa?
fedha izo zingesaidia albino wangapi waliokatwa mkono? yatiima wangapi? au hata shule ya kuwahifadhi albino wasome kwa amani?
sio eti kwaajili CCM inawafadhili mafisadi wanapotumia pesa vibaya basi napo Wafadhili wa CHADEMA nao watumie pesa vibaya....
to me kama anauchungu wa taifa lake ondoa hizo hospitali nk, kuna mambo mengi kwa sasa angechangia ningefrahi zaidi ya hizo helkopta hususan asaidie walemavu wanaoishi kwenye mazingira ya shida sana
Hii ni kazi ya serikali iliyoko madarakani, ni kazi ya NGO, ni kazi ya wananchi wote...siyo kazi ya chama cha siasa (chadema) ni kushika nchi kwanza ndio watumia peasa za wananchi kusiaidia uliyoyasema..angalizo usitake chadema iwe ka-NGO kama NCCR mageuzi ya....je helkopta ni muhim sana, na inahitajika kwa kampeni za serikali za mitaa? fedha izo zingesaidia albino wangapi waliokatwa mkono? yatiima wangapi? au hata shule ya kuwahifadhi albino wasome kwa amani?
sio eti kwaajili CCM inawafadhili mafisadi wanapotumia pesa vibaya basi napo Wafadhili wa CHADEMA nao watumie pesa vibaya....to me kama anauchungu wa taifa lake ondoa hizo hospitali nk, kuna mambo mengi kwa sasa angechangia ningefrahi zaidi ya hizo helkopta hususan asaidie walemavu wanaoishi kwenye mazingira ya shida sana
Hayo ni yako Masatu. Hayakuhusu waachie Chadema wenyewe waamue.halafu watoto wake, wakweze wakipewa viti maalum mtalalamika?
Hayo ni yako Masatu. Hayakuhusu waachie Chadema wenyewe waamue.
Kwani mlipompa Makongoro Nyerere ubunge wa bure kuna mtu aliwalalamikia?
Si mlikuwa mnalipa fadhila? Sasa wacha Chadema waamue kama wanalipa fadhila au la, hayo hayakuhusu baba/mama.[/QUOTE]
Duu! kuwaachia bila kuwauliza eti kwasababu hawatuhusu siyo sawa hakuna Chama ambacho hakituhusu labda kama inataka control ya uchaggani tu! lakini as long as wanataka kuongoza nchi nzima..wantuhusu si wao tu wote CUF etc..wanatuhusu..kwahiyo lazima watuambie..Ndesa anatoa ...bila ...kutegemea au ku-fanya ufisadi baadaye?? nakataa mkuu wanatuhusu wote yeyote anayetaka kuchukua nchi...
Hayo ni yako Masatu. Hayakuhusu waachie Chadema wenyewe waamue.
Kwani mlipompa Makongoro Nyerere ubunge wa bure kuna mtu aliwalalamikia?
Si mlikuwa mnalipa fadhila? Sasa wacha Chadema waamue kama wanalipa fadhila au la, hayo hayakuhusu baba/mama.
In return ndesa anapata nini kutoka CHADEMA...bure bure hafanyi hiyo biashara mchagga?
Itakuwa ngumu sana kumlalamikia mfadhili aisee.Ni sawa na CCM wanavyowaonea haya mafisadi(wengi wao ni wafadhili wa chama).....
In return ndesa anapata nini kutoka CHADEMA...bure bure hafanyi hiyo biashara mchagga?