How!!??RIP Ndesamburo! Jamaa ameniachia jinsi ya ku kaa a low profile while unatengeneza pesa ya nguvu! Bless your soul sir!
Mkuu imekuwaje tena? mbona unamshambulia kamanda wakati yuko sahihi kabisa?Kwani wewe hutakufa, acha kuwa short sighted!
Awali wafuasi na wanachama wa Chadema walifurika nyumbani kwa Ndesamburo kwa ajili ya kuandamana kupelekwa mwili wake kanisani.
Umati huu unadhihirisha namna ulivyowatendea watu wa moshi uungwana na utu bila kujali dini kabila wala itikadi zao. nenda gwiji wa demokrasia Moshi nenda baba wa mageuzi nenda mtu wa watu. Kalale peponi NDESAPESA[/QUOTE