Ndege zetu saba za ATCL zimenunuliwa kwa Shilingi ngapi?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,102
Reaction score
10,787
Raisi wetu ameutangazia umma kuwa "tumenunua ndege saba (7) kwa cash". Much as hili ni jambo la kupongezwa, ningeomba tueleweshwe ni fedha kiasi gani zimetumika kununua ndege hizi?

Nimetafiti mtandaoni sijaona mahali mbali na hoja zinazodai kuwa hata bunge halijui kiasi kilichotumika kwa kuwa hawajapitisha!

Msaada tafadhali.
 
Hivi ni kwanini ' Chatu ' akimuua Binadamu akiwa amevalia Nguo zake huwa ' hammezi ' na Nguo badala yake ' hummeza ' tu Yeye kama Yeye pale akimkamata na Watu huzikuta Nguo zake pembeni zikiwa na Mchuzi wa Mwili / Damu?

Cc: britanicca
 
Embu muone huyu
 
Embu muone huyu

Kama Wewe hujabarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ' Einstein ' kamwe hutokuwa unamuelewa GENTAMYCINE na michango yake hapa Jamvini / Jukwaani. Pole sana na wapishe wenye ' IQ ' kubwa watakuwa wameshanielewa tena vyema kabisa nilichoandika hapo na kwanini nimeandika hivyo.

unataka kutekwa ?
 
labda mfungie safari mpaka magogoni ukamuulize utapata jibu sahihi zaidi kuliko humu JF
 
Kama Wewe hujabarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ' Einstein ' kamwe hutokuwa unamuelewa GENTAMYCINE na michango yake hapa Jamvini / Jukwaani. Pole sana na wapishe wenye ' IQ ' kubwa watakuwa wameshanielewa tena vyema kabisa nilichoandika hapo na kwanini nimeandika hivyo.
Cc: britanicca
Bora hata umebadilisha hati ya mwandiko, ilikuwa haivutii kusoma kabisa
 
Woi! Hata bei ya vitz siju, ya ndege ntajulia wapi? Hata ikiandikwa sintaweza kuisoma. Nitaishia kusema milioni moja elfu, laki saba na sabini elfu....kama yule mtu aliyekuwa anasoma takwim za korosho mtwara.
 
Hapo kwenye ununuzi wa ndege pana harufu ya ufisadi mkubwaa
 
Hivi hii nchi..tukiamua kufunga na kuomba Mungu awaondoe wadhalimu...tukamua ni maombi ya kufunga na kuomba mpk kieleweke...kuna linalomshinda Mungu?

Maana kila siku ni afadhali ya jana.
 
w
Kama Wewe hujabarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa ' Einstein ' kamwe hutokuwa unamuelewa GENTAMYCINE na michango yake hapa Jamvini / Jukwaani. Pole sana na wapishe wenye ' IQ ' kubwa watakuwa wameshanielewa tena vyema kabisa nilichoandika hapo na kwanini nimeandika hivyo.

Cc: britanicca
wachache sana wa kuweza kuelewa andishi zako na za @pascala mayalla ndo maana mara nyingi ukimbilia kutukana , ndo maana mr Pascal Mayalla muda mwingine anaweza andika ujumbe hapa akaishia kuoga matusi ya watu kiumbe ye uwa ana trick maswali haleti ujumbe moja kwa moja ili wachache waelewe na kwa upande wako unatumiaga misemo ya mbinu ya kuchamgamsha akili, VB vipi Gitarama wazima?
 
Hivi ni kwanini ' Chatu ' akimuua Binadamu akiwa amevalia Nguo zake huwa ' hammezi ' na Nguo badala yake ' hummeza ' tu Yeye kama Yeye pale akimkamata na Watu huzikuta Nguo zake pembeni zikiwa na Mchuzi wa Mwili / Damu?

Cc: britanicca
maswali mengine ni hatari kutoa majibu yake maana hapa yataleta hoja nyingine zinazo weza chunguzwa na TISI ARA EII
 
Hivi hii nchi..tukiamua kufunga na kuomba Mungu awaondoe wadhalimu...tukamua ni maombi ya kufunga na kuomba mpk kieleweke...kuna linalomshinda Mungu?

Maana kila siku ni afadhali ya jana.
Sasa Mungu alikupa akili za nini? Same kila mtu achukue zana yoyote iliyokaribu nae kesho twende tukawang',oe hawa madharimu
 
Mwenye majibu sahihi ya bei ni mtoto wa Dada, ili nilisikia wakisema Jumla ni tilioni moja ya wanyonge ndo zimetumika.
 
Raisi wetu ameutangazia umma kuwa "tumenunua ndege saba (7) kwa cash". Much as hili ni jambo la kupongezwa, ningeomba tueleweshwe ni fedha kiasi gani zimetumika kununua ndege hizi?

Nimetafiti mtandaoni sijaona mahali mbali na hoja zinazodai kuwa hata bunge halijui kiasi kilichotumika kwa kuwa hawajapitisha!

Msaada tafadhali.

alafu ukishajua zimenunuliwa kwa kiasi gani cha fedha utapanda bure au ah ah ah
 
Back
Top Bottom