Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 762
JK hana ndege
Mkuu hiyo ndege ya njano ungeiweka kabla haijapata ajali ungekuwa umemtendea haki sana mmiliki kuliko kuiweka baada ya kusambaratishwa na mti.
Haki ya nani !!! Hiyo ya sabmeke ni ndege aina gani ? Bei yake ni shilingi ngapi? Mnanunua sraper halafu zinatumaliza.
we ulikua unamjua babu katika maisha yake? Au mpaka kafariki ndo unamjua. kashindwa kuendesha hicho kitaka taka vumbi ataiweza boing? Mtoe hapo kwa kina dangote! Mueke katika list za kina diamond.
Utani mwingine bwana! Habari yote imebeba ndege ya Bob sambeke'! At list kila siku alikuwa angani si mwenzetu na sisi!!
resident of the Dangote Group of Companies Alhaji Aliko Dangote has acquired a Bombardier aircraft for his private uses. The jet is valued at $45m. Its acquisition coincided with his 53rd birthday on Saturday.
![]()
MUKESH AMBANI
''![]()
![]()
DIDDY
![]()
BILL GATES
![]()
![]()
WARREN BUFFET
![]()
JIGGA MAN
JAY Z
![]()
SHEIKH RASHID OF DUBAI
![]()
![]()
![]()
OBAMA
![]()
QUEEN ELIZABERTH
![]()
RAISI WA CHINA
![]()
JK
![]()
BABU SEMBEKE (R.I.P)
![]()
Mkuu ni katika kutenda haki tu, kwa sababu unapofanya comparison angalau hivyo vitu viwe katika hali iliyo sawa na usawa pekee ninaouona ni ama ndege zote ziwe hazijapata ajali au zote zilinganishwe baada ya kupata ajali. Kwa suala la bei hapo ndo comparison ilipo zingine ziko juu sana na hiyo ya bilionea wa Arusha lazima itakuwa ya bei ya chini sana pengine inazidiwa hata na VX V8 za serikali.Hata ingewekwa nzima, sidhani kama gharama yake ina nunua tairi za ndege ya P didy !
|
Bongo wote tuna njaaa... Unawekwa kwenye list ya mafisadi kabisawatu wanasema Tz ina watu wana pesa ila sijaona ata mwenye ndege, kama hiyo ya Didy,mtu akiwa na vogue iliyotumika kutoka dubai tayari anawekwa kwenye list ya mabilionea! ila ni sawa wengi tunanjaa.
Una maana gani kuweka Ndege ya Sambeke hapo chini?..Is it supposed to be a joke or something?!!...!
Soma uelewe aina za ndege na gharama zake, hiyo ya sambeke na yenyewe ni Ndege in its class, unavolinganisha na Jets za hao World Billionaires sioni point yako. Wabongo hatuna maana, mtu unatembea kwa miguu unamdharau mwenye Vitz!!! you are low!
Ni moja kati ya zile zilizouzwa Tsh 500,000/- za idara ya kilimo (kupambana na nzige) ambazo ziliwashinda !