Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
- Thread starter
- #41
Kwenye abiria 90 hata mimi nimepata shida kidogo.
Nafikiri wengine walishikilia bomba....Abiria zaidi ya tisini?, kwa hiyo ina maana walizidisha abiria maana Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 76 tu, kama ni hivyo tutasikia kilio muda si mrefu
Litakuwa gazeti pendwa la 'Freedom'Waaandishi wetu kweli ni tatizo, sasa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 76 ilibebaje abiria zaidi ya 90......??? Ndo maana Mkapa alikua anawachana tu, watu failures ndo wanakimbilia uandishi siku hz, shame on you.....
Waaandishi wetu kweli ni tatizo, sasa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 76 ilibebaje abiria zaidi ya 90......??? Ndo maana Mkapa alikua anawachana tu, watu failures ndo wanakimbilia uandishi siku hz, shame on you.....
Kwani abiria huwa wanashuka wote kwa wakati mmoja au wanashuka kwa kutoka mmoja mmoja? mlango utatosha kuruhusu abiria wote kushuka kwa wakati mmoja?naona abiria 4 hapo
kwani mimi kuona abiria 4 ni kosa?Kwani abiria huwa wanashuka wote kwa wakati mmoja au wanashuka kwa kutoka mmoja mmoja? mlango utatosha kuruhusu abiria wote kushuka kwa wakati mmoja?
Nauli bei gani dar mwanza[/QU16
kiwango cha chini 160000
kwani mimi kuona abiria 4 ni kosa?
Kwa mtazamo wako abiria waliokuwemo kwenye hiyo ndege ni hao hao wanne au Kuna wengine?kwani mimi kuona abiria 4 ni kosa?
mimi naona abiria 4 tu hayo mengine unayajua wewe.Kwa mtazamo wako abiria waliokuwemo kwenye hiyo ndege ni hao hao wanne au Kuna wengine?
Tatizo lao kubwa ni marketing strategy na poor customer careMbona hawafanyi promo ya kutosha ya hizo ndege kama mashirika mengine, wajitahdi matangazo wasiwe kama TTCL,
Na hiyo lugha kila kitu sijui utekelezaji wa ahadi msizipende sana, fanyeni biashara.