Ndege za ATCL zaanza safari Mwanza - Dar

Ndege za ATCL zaanza safari Mwanza - Dar

Juzi tarehe moja fast jet walikua wana one day sale kwa 79000 kwenye trip zake

Atcl wafanye biashara.Uzalendo uende na huduma nzuri

Fastjet wanatoa ushindani sana
Ndo changamoto zenyewe hizo zinazotakiwa.
 
Abiria zaidi ya tisini?, kwa hiyo ina maana walizidisha abiria maana Ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abiria 76 tu, kama ni hivyo tutasikia kilio muda si mrefu
kaka kilio gani tena manake na mie in 3 weeks nitaenda mwanza, na fastjet mara hii november wameshusha bei si kawaida nataka nicancel atcl kakini nafikiria fastjet mara tunaweza shindishwa mwanza ndege ikaja usiku,
 
Juzi tarehe moja fast jet walikua wana one day sale kwa 79000 kwenye trip zake

Atcl wafanye biashara.Uzalendo uende na huduma nzuri

Fastjet wanatoa ushindani sana
ipo mpaka sasa hivi nimecheki kwa system, na wakiendelea na bei zao jamaa atawabwaga kama PW alivyowekwa chini manake fastjet kwenda mwanza mara 4 kwa siku sio mchezo, ila nimeshangaa ilivyoletwaa walisema viti 70 leo naona viti 90 wamemodify? niliwahi kusafiri na ile iliyopita kutoka mwanza ni kweli full mbanano
 
Waaandishi wetu kweli ni tatizo, sasa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 76 ilibebaje abiria zaidi ya 90......??? Ndo maana Mkapa alikua anawachana tu, watu failures ndo wanakimbilia uandishi siku hz, shame on you.....
mzee umetema makavu live
 
Waendelee kushindana na sisi makapuku tuachane na mabasi, tochi zimezidi
 
Pics-page-9-Nov-3.jpg
 
Usafiri wa ndege ni muhimu kipindi hiki kuliko wakati wowote, tochi zinakera sana.
 
Mwanzo ndege ilikuwa ni anasa lakini now ni usafiri wa muhimu kuliko kipindi chote.
 
Ngoja nikafanye booking mapema!!! Niwe wa kwanza kwanza kupanda BOMBADIER
 
Kweli kabisa mkuu. Nimeshangazwa na neno ambalo lipo kisiasa zaidi "uzalendo", hapa jambo linalotakiwa kuwashawishi wateja kibiashara zaidi kwa huduma bora zinazokidhi viwango na nafuu tukilinganisha na kampuni binafsi kama ulivyoandika mkuu
Wanataka waonewe hurumaaaa
 
Back
Top Bottom