Labda kama ndege ilikuja ikawa na first class configuration halafu wakaitoa na kuweka all economy class hapo idadi ya seat zinaweza kubadilika kabisa,otherwise watoe explanation zingineNafikiri wengine walishikilia bomba....
Labda kama ndege ilikuja ikawa na first class configuration halafu wakaitoa na kuweka all economy class hapo idadi ya seat zinaweza kubadilika kabisa,otherwise watoe explanation zingineNafikiri wengine walishikilia bomba....
Hakuna ndege kubwa inayosafiri na abiria wanne labda zile charter za Auric,Coastal Aviationmimi naona abiria 4 tu hayo mengine unayajua wewe.
Hiyo promo huwa wanaifanya kila mwaka ni miaka iliyopita ilikuwa cheap kuliko hiyo,kwa sasa nauli minimum ya Fastjet kwenda Mwanza ni 88,000 +13,000 ya kodi =101,000 ni hii ni uki-book kuanzia wiki moja kabla,otherwise unasafiri hadi laki 4Juzi tarehe moja fast jet walikua wana one day sale kwa 79000 kwenye trip zake
Atcl wafanye biashara.Uzalendo uende na huduma nzuri
Fastjet wanatoa ushindani sana
Ndio maana wakati mwingine najiskia kuunga mkono mswada mpya wa habar japo kwa shingo upande. shame on themWaaandishi wetu kweli ni tatizo, sasa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 76 ilibebaje abiria zaidi ya 90......??? Ndo maana Mkapa alikua anawachana tu, watu failures ndo wanakimbilia uandishi siku hz, shame on you.....
Nchi imejaa mbatata sana hii, na zikichoka utafurahi sana sio?Zitachoka Kabla Ya wakat
Tunataka Kupanda bure Kama tren na Gari mwendo kasi[/QUOTE
Napita ndg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wawafaulishe kweny chopa au kweny dar lux tuWanapata level seat? Maana kama abiria hawajai ni hasara kubwa. Bora kufaulisha!
Neno "uzalendo" linatumika ndivyo sivyo kabisa mkuu.Kweli kabisa mkuu. Nimeshangazwa na neno ambalo lipo kisiasa zaidi "uzalendo", hapa jambo linalotakiwa kuwashawishi wateja kibiashara zaidi kwa huduma bora zinazokidhi viwango na nafuu tukilinganisha na kampuni binafsi kama ulivyoandika mkuu
Tuiunge mkono ATCL