Ndege yetu na route za Daladala

Aliekupa hio taarifa si mtaalamu na naona mazuzu wakiburuzwa.

Mtapata tabu sana... ata ferrari imetengezwa kwenda mwendo kasi lakini haimainiishi ukitembea spidi 60kph itaharibika.

Jaribuni kufanya research kidogo, shortest dreamliner flight ni 74km ambayo ni dakika 25 tu angani.

Magu hajakosea, mnapata tabu sana!
 
Mbona ethipoia airways dreamliner inakija dar?? Addis - dar ni safari ya masaa mangapi?? 8+???
Acha uongo. You think Ethiopians wana akili matope. Ndege Ethiopians wanaleta Dar na KIA ni Boeing 737 or Airbus A320/319
 
Niliwahi kusema ndege hii haitufai kwa routes za kimataifa (hatuna competitive advantege, economies of scale) wala za ndani (haifai kwa routes fupi, hatuna technical capacity viwanja vyetu vingi etc).

Zaidi ya shobo kusema tuna dege hili, kibiashara tume boogie step.

Michael Jackson aliimba

Too high to get over (yeah, yeah)
Too low to get under (yeah, yeah)
You're stuck in the middle (yeah, yeah)
And the pain is thunder
-Michael Jackson "Wanna Be Startin' Something"

Kuna watu wametaka ku start something lakini hawajui kukimaliza hapa.

Tusubiri tu hiyo pain ya thunder.
nauliza tu....
tangu litue hili jidege je limeshapiga route yoyote ile hapa tanzania?
 
Acha uongo. You think Ethiopians wana akili matope. Ndege Ethiopians wanaleta Dar na KIA ni Boeing 737 or Airbus A320/319

Siku ingine usije bila facts....angalia hizi link

"Ethiopian Airlines flight experience, onboard the Boeing 787-800, from Dar es Salaam Julius Nyerere International Airport (Tanzania) to Addis Ababa Bole International Airport (Ethiopia) as flight ET804. This flight, with a flight time of 2 hours and 10 minutes, comprises of a hot snack service in Economy Class, with a choice of drink. A single choice of chicken with rice for the main course is served. Coffee and tea are served after the meal. It was nice to watch the sunset from the large B787 window. It was a very pleasant flying experience with Ethiopian Airlines. Thank you for watching this Ethiopian Airlines flight experience on FlightTravels"

Tanzania: Ethiopia's Dreamliner Flight to Boost Tourism

By Florence Mugarula

Ethiopian Airlines' Boeing 878-9 Dreamliner maiden commercial flight to Kilimanjaro is a big credit to tourism industry to the country.

The Boeing touching down to Kilimanjaro International Airport (KIA) is also expected to expose tourism attractions to tourists and various stakeholders across the world.
 
Hivi nani kawambia ukinunua ndege lazima ianze na safari za ndani, ingenunuliwa na serikali ya Zanzibar au Rwanda au visiwa vya comorro ingetua viwanja vipi vya ndani, acheni kukariri.
unguja to Pemba, Kigali to Chattle.
 
Siku ingine usije bila facts....angalia hizi link

"Ethiopian Airlines flight experience, onboard the Boeing 787-800, from Dar es Salaam Julius Nyerere International Airport (Tanzania) to Addis Ababa Bole International Airport (Ethiopia) as flight ET804. This flight, with a flight time of 2 hours and 10 minutes, comprises of a hot snack service in Economy Class, with a choice of drink. A single choice of chicken with rice for the main course is served. Coffee and tea are served after the meal. It was nice to watch the sunset from the large B787 window. It was a very pleasant flying experience with Ethiopian Airlines. Thank you for watching this Ethiopian Airlines flight experience on FlightTravels"

Tanzania: Ethiopia's Dreamliner Flight to Boost Tourism

By Florence Mugarula

Ethiopian Airlines' Boeing 878-9 Dreamliner maiden commercial flight to Kilimanjaro is a big credit to tourism industry to the country.

The Boeing touching down to Kilimanjaro International Airport (KIA) is also expected to expose tourism attractions to tourists and various stakeholders across the world.

We nae. Nimesoma. Do you think they bring the Dreamliner everyday? Elewa, they have had to bring that aircraft because of capacity. Sasa hio ya kwenu mtaijaza nini kwa safari za domestic kama hata hizo Bombardier sometimes hazijai? Ethiopians used to bring B737 and A320s mpaka walipoona they had more capacity na hizo ndege ni ndogo. So kwa biashara it makes sense with that capacity. Sasa hio ya Tanzania kwa domestic flights, haileti sense maana hata hawajajaribu A319 kama za fastjet, kibiashara haileti maana wala faida kwa Dreamliner kufanya domestic routes za 1hr. Hio ndege is too expensive na kama serikali kweli inataka kufanya biashara ya anga, they need to have a better business plan, otherwise kodi zenu kwishney.
 
Si hawana akili matope? Argument hapa ni kuwa "niache uongo"? Ethiopian Airlines hawajawahi kuwa na A319/320 refer: https://www.planespotters.net/airline/Ethiopian-Airlines na nedge iliyokuwa inakuja hapa ni Boeing 767 na kwa ucku inakuja ATR.

Kwa sasa wanapata tabu kuuza/kujaza seat, dream liner zao zinazunguka east and central Africa kama haziana akili nzuri kudaka abiria....

Baba yetu katununilia ndege, na ata subsidize tupande kwa wingi, nyie mnapata tabu? inalipa/hailipi nyie shida yenu nini?
 
Back
Top Bottom