Ndege yetu na route za Daladala

Kwani abiria hamna wanaosafiri kwenda hizo nchi
Bila shaka walifanya reseach kwanza kabla ya kuinunua
Moja ya sababu zinazofanya nchi zetu kuwa masikini ni kuamini sana wanasiasa.

Hizi habari za shaka sana, halafu mtu anasema "bila shaka walifanya research".

Iko wapi hiyo research?
 
pnajua mnatafuta lawama tu, ila nlimsikiliza vizuri sana chief pilot, kwamba wamelazimika kufanya route za ndani ili kuwapa uzoefu marubani na hostess kuirusha hii ndege. so baana ya kupata experience, ndege yetu utaruka kuelekea india na china
 
Lakini 8 hours ni kutoka Dar hadi Amsterdam kea huyo sio mbaya, KLM inatoka Amsterdam hadi KIA 8 hours, tusiponde kila kitu.
 
Ikiwa panga boy zenyw pa1 na seats 75 huwa hazijaz abiria wa local routes sembuse hili jini nyonya mafuta tulilolinunua cash lenye siti 265 ad lijaze sio leo labda bei ya ticket iwe chin zaid ya fast jet.....sasa je faida tutaiona kweli
jana tu nimefanya booking ndege imejaaaaaaaa, ilibidi nifanye booking fastjet
 
Nina uhakika 100% ununuzi wa hii ndege ni upuuzi mtupu. Ni hasara juu ya hasara. Mkuu amekurupuka mnoo. Hakuna tofauti yoyote na mradi wa kile kivuko cha Dar ambacho kilinunuliwa ili kupunguza msongamano na kikazinduliwa na Magu mwenyewe, lakini mwisho wa siku kikayeyuka.
Hata hili la ndege ipo siku wanaobisha hapa watakuja kuelewa na hata mkuu mwenyewe atakuja kulikana hilo dege.

Tujipe muda na tuwe na subiri tu. Ukweli huwa haujifichi, unaweza kucheleweshwa lakini ipo siku utakuwa wazi tu.
 
UCD

Acha ubishi ndugu yangu.
Business plan sio siri ya watu fulani fulai, ni jambo la wazi kwa washika dau. ATCL walishakiri hilo toka mwaka juzi kuwa, hakuwa na business plan yoyote mpaka walipoletewa ndege mpya na kutakiwa kuandaa hiyo business plan.
 
Kwa aina hizi za siasa na aina ya wapinzani tulionao kwa sasa CCM itaendelea kutawala miaka mingine 80 au 100 kabisa, tangu jumapili ileeee mnaongelea ndege.Kwa maana nyingine mnacheza mziki wowote anaouanzisha JPM.Mbaya zaidi kaja mbunge wa Kawe kawaingiza chaka eti Dreamliner inagharimu mil 67 kwa saa kila ikipaki na watu mmekenua meno.Na vi smartphone vyenu hakuna hata mwenye akili ya Ku Google ukweli kuhusu hilo. Kumbe ndo maana mliambiwa MTAPATA TABU SANA. Akili zenu tayari zinajulikana zilivyo.
Nadhani itafika tu watanzania watamchoka kinyonga huyu anayejidai anajua kubadili rangi kila siku wakati yeye ndio katufikisha hapa tulipo
 
Kutaka kujua business plan ipo au haipo unaangalia matendo(kinachoendelea).
Acha ubishi ndugu yangu.
Business plan sio siri ya watu fulani fulai, ni jambo la wazi kwa washika dau. ATCL walishakiri hilo toka mwaka juzi kuwa, hakuwa na business plan yoyote mpaka walipoletewa ndege mpya na kutakiwa kuandaa hiyo business plan.
Afadhali mumejaribu kumwelewesha huyo mtu anayedhani vigelegele ndio ufanisi
 
Back
Top Bottom