digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,442 Reaction score 23,121 Jun 18, 2024 #21 dudus said: Waokolewe kwa lipi wakati wapo mazoezini? Click to expand... Kazi nzuri
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 25,011 Reaction score 57,159 Jun 18, 2024 #22 digba sowey said: Kazi nzuri Click to expand... Marvelous!
peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 17,407 Reaction score 29,502 Jun 18, 2024 #23 Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,560 Reaction score 9,737 Jun 18, 2024 #24 peno hasegawa said: Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela Click to expand... Ili asirudi kama alivyoenda?
peno hasegawa said: Huko ni wapi? Nilisema bibi aondoke na helicopter kwenda kwamandela Click to expand... Ili asirudi kama alivyoenda?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,267 Reaction score 129,618 Jun 18, 2024 #25 Lord Delamere in Kenya said: Watu wanaongea coded language tu. Ni ubaguzi wa wazi kwa sisi tuliopata D mbili pekee. Click to expand... Hao ni warusi mkuu!!
Lord Delamere in Kenya said: Watu wanaongea coded language tu. Ni ubaguzi wa wazi kwa sisi tuliopata D mbili pekee. Click to expand... Hao ni warusi mkuu!!
uchumi2018 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 2,087 Reaction score 2,996 Jun 18, 2024 #26 Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Hawa walikuwa kwenye mazoezi offshore,sema zoezi limeenda vibaya,wakapata ajali ya ndege kubinuka.
Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Meneja Wa Makampuni said: Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi. Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore. View attachment 3020078 Click to expand... Hawa walikuwa kwenye mazoezi offshore,sema zoezi limeenda vibaya,wakapata ajali ya ndege kubinuka.
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 24,177 Reaction score 29,657 Jun 19, 2024 #27 antimatter said: Dogo, Gairo kuna bahari? Click to expand... Kwani Gairo si ndiyo ile waarabu wanaiita Cairo kwa kina Shabbiby!
antimatter said: Dogo, Gairo kuna bahari? Click to expand... Kwani Gairo si ndiyo ile waarabu wanaiita Cairo kwa kina Shabbiby!