wakyagara wakinyora
JF-Expert Member
- Jan 1, 2013
- 735
- 288
Bado haijafahamika chanzo cha ndege hiyo kuanguka.mmoja kati ya abiria waliokuwemo kwenye ndege hiyo ni wakili protaz ishengoma.boti inayokwenda kuwaokoa imeshawaona lakini bado haijawafikia
Abiria wote wameokolewa,Mungu ni mkubwa.Pilot aliomba kubadili mwelekeo atue Arusha kwa dharura ikashindikana kuwahi akatua ziwani.
ok, taarifa zimefika.Ndege ya kampuni ya tanzanair iliyokuwa ikitokea bukoba kuelekea zanzibar,imeanguka hivi punde katika ziwa manyara.mpaka muda huu bado inaelea majini,abiria wote sita pamoja na pilot wa saba bado wamo ndani ya ndege.taarfa za hivi karibuni zinasema kuna boti imetoka serena kwenda kuwaokoa.
Nitaendelea kuleta updates
source:niko na mtu ambaye anawasiliana na mmoja wa abiria waliomo ndani ya ndege hiyo.
ok, taarifa zimefika.
swali langu:mbona ndege ata ikijikwaluza tu na watu wawili inaonekan"big issue" kweli mpaka breaking newz...mara habari zilizotufikia hivi punde, lakini huko kwenye gari zetu za mkaa , au dala dala, au za mnadani zinamwaga abiria wa kutosha huwa inaoenekana ishu "minor" sana , hivi kwanini wa tz tunazikweza xana wakati kuna vyombo vya usafiri vinamajnga zaidi ya hivyo vindege vyetu. ni hayo tu.
Duh tatizo nini ...?
Lakini kwenye maji kama pilot ni mzoefu ni safe than on ground pasiwe na mamba wala watu tu....!
hao abiria ni mabilionea?
Kwa hiyo mamba wanaweza ipindua ndege hiyo?