Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

Yes hii inaonesha dhahir kua TANZANIA watu wameelewa kuwa tumeishinda Corona
Mzungu mwenyewe kakubali hajavaa barakoa.Wenzetu Wana means zao za ku verify hawategemei zinazotolewa na wanasiasa wa upinzani .Hapo washajihakikishia independently kuwa Tanzania Ni safe imeishinda corona
 
Hii serikali inafanya vitu vya kijinga hadi vinatia hasira. Molel na kigwala wote ni madoctor ila ujinga wanaofanya ni sawa na wagonjwa wa milembe.
We ndio mjinga uko nje unapiga kilakitu huku serkali inafanya kazi mnataka nini tena
 
Wewe mwanaume ambaye hujakamilila lini ulichoma fedha
Hakuna asiyejua kuwa utalii ni chanzo cha mapato. Lakini mawaziri wawili tena wanaume waliokamilika kabisa wanachoma fedha za umma kwenda kujichekesha kwa wazungu wawili? Si ajabu hata ukute hao wazungu wamewaleta wao ili kuwakoga wakosoaji wa mitandaoni.
 
Hivi huu ujinga wa sasa hivi wanaccm walikuwa nao, ila akakosekana kiongozi wa kufanya huo ujinga uonekane, au huu ujinga ndio umeanza sasa?
Nasubiri mwisho wa yote haya utakuwaje.
Kama ndio itakuwa kawaida ya maisha yetu toka hapa kwenda mbele, nadhani tutakuwa taifa la ajabu sana kuwahi kutokea!
 
Haki ya mungu watu sasa watajivua nguo kwa kutafuta kick
Tanzania imebadirika.. vijana wanachapa kazi.
Leo wakati dunia bado haijaamka kuna watalio wawili ambao wanaonekana kwenye picha wamepokelewa na waziri wa utalii.

Hii ji heshima kubwa sana kwa watalii wetu.. na waziri kingwangala ameonyesha kwamba yeye ni mtu wa kazi na si mtu wa cheo na kuletewa chai ofisini.


Big up bro.View attachment 1466999
 
20200602_220605.jpg
 
Hivi ukiachia dokta slaa...chadema.ilishawahi kuwa na madokta???.

..



Ai wamejaa wapiga dili na wapiga ramli pale ufipa...


Watalii hata wangekuja wawili..bado ni watalii..

Na ngoja turkish airlines inatua wiki hii, bado emirates, fly dubai...mtanyooka tu...

Ethiopian airlines ndo kwanza wameanza.


Viva JPJM
 
Back
Top Bottom