TUTUO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,253
- 2,023
Mmmh Jimbo langu halina maji, madawa hospitalini ni pungufu kwa % 60 ,hatujapitiwa na umeme wa REA, mwisho naunga mkono hoja. Halafu mnataka tuendeleeBiashara ya ndege hailipi kwa sasa(labda baadae) ,kwanza angejikita kwanza kwenye kilimo cha umwagiliaji(Ujenzi wa mabwawa), pili ubia wa Ujenzi wa smelter (Makinikia yanalipa kuliko abiria wa ndege kwa sasa) tatu, Ujenzi wa conference centres kubwa za kisasa na wawekezaji kwny mahoteli (ili kupata mikutano ya kimataifa) then nne, ndiyo angenunua hizo ndege. Yote heri kwa sasa hongera kwa Mheshimiwa Rais, anaweza sana tu.