Ndege ya tatu aina ya Bombardier Kuwasili nchini Mwezi huu

Iliyoharibika ni ile iliyonunuliwa na kikwete, ambayo ilinunuliwa ikiwa used, za magu zinapiga kazi
Ahsante kwa taarifa.Hivi Kikwete nae kumbe alijikongoja akanunua ndege.Ilikuwa aina gani na ilitumika kwa shuhuli gani,mbona sikuwahi kuisikia wala kuiona?
 
Wewe kama ulisha laaniwa ulilaaniwa tu kamwe laana hiyo haita kutoka mtu mmoja amesimama kwaajili ya Watanzania na Taifa kwa ujumla bado mnashindwa kumsapoti hakika nimeamini Nabii hapati heshima kwao Nchi ilikuwa haina ndege hata moja huyu amethubutu bado tunamdhihaki hakika wenzetu mataifa mengine wanamtamani sisi tunaleta dhihaka hakika MUNGU Atusaidie Sana tumejisahau tunashabikia kuliko ukweli.
aangalievipaombele muhimu, hafanyi sawa kabisa
 
kwa nn hio ela tusingejenga reli tukoka dar mpk namanga naona ingekuwa ndo jambo la msingi na hio ela ndo ingezalisha na kurudi mapema
 
Uwe unakumbuka kutumia neno "MIMI" na sio " SISI" maana huna uhakika kama wengine wanafikiri jinsi ubongo wako unavyofikiri.
We unaonekana c mtanganyika we utakuwa ni wa kutoka alikotoka sizonje
 
Wamewadhulumu watumishi ndo Deni limelipwa!!

Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana.
 
Back
Top Bottom