Ndege ya Rais yazuiliwa

Inspite of those minor flaws, the core of the subject remains crystal clear. The story was intended to expose lavish spending done by the mindless government on covering for seemingly needless costs while thousands of patients' lives are at stake owing to ongoing medics strike. Spending Tshs 3M taxpayers money on payment for unnecessary 'tour' to Switzerland must be condemned and faultfounded by any conscious citizen.

i like you.
 
• IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIA

na Mwandishi wetu

UKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal. Habari ambazo gazeti hili imezipata, zilisema kuwa ndege ya Rais mahususi kwa ajili ya safari za aina hiyo imezuliwa nje ya nchi baada ya serikali kukwama kulipia gharama za matengenezo yake.
Hawa ndio waandishi wanao tuletea habari? Hiyo ndio ndege ya wapi tena?
 
Kuna Thready moja ya Pasco wa JF tulikua tunaijadili kuhusiana na waandishi wa habari na bahasha! Mimi nilichangia kwakumuuliza Pasco kua nimesikia kuna neno linasemwa sana kua kuna waandisha Ucharwa! sasa jibu nimeshapata kuhusiana na huu uzi wa Mungi.
 
Mie binti wa kitanzania , kwa maneno haya na habari hii, nimejihisi nimebakwa. Mh! yauma sana!
 
Hebu wataalamu wa mahesabu tusaidieni. Matumizi ya millioni 300 kwa siku nne kwa watu 14 kila mmoja hapo anatumia kiasi gani kwa siku moja?
 
Mbona sioni cha kushangaza si wote tunajua serikali imefilisika japo inashindwa kutangaza hadharani tu rahisi wetu jk anahitaji maombi
 
hakuna shirika la ndege hapa duniani linaloitwa QATAL,wala hakuna waziri anayeitwa NDUNDU.
Halafu hii habari ni ya kiumbea kwa sababu hili gazeti halijui hiyo ndege iko nchi gani zaidi ya kuzusha nje ya nchi.gazeti makini haliwezi kuandika udaku kama lilivofanya hili.wajinga ndio waliwao.

tupe za ukweli sasa wewe ili kumprove wrong mtoa habari au unabisha bila vigezo! mwagika basi!
 
Kuna Thready moja ya Pasco wa JF tulikua tunaijadili kuhusiana na waandishi wa habari na bahasha! Mimi nilichangia kwakumuuliza Pasco kua nimesikia kuna neno linasemwa sana kua kuna waandisha Ucharwa! sasa jibu nimeshapata kuhusiana na huu uzi wa Mungi.

aka MAKANJANJA!
 
kama ulikuwepo mkuu,hawa jamaa wababaishaji kweli,hata shirika la ndege eti wanaandika QATAL,Waziri NDUNDU mara nje ya nchi,afazali nawe umeliona hilo...Ndo matatizo ya copy and paste kaka.

TAMUCHUNGU usijali sana na makosa madogo madogo kwani ukiangalia vizuri siyo afazali ni afadhali ....... nachangia tu.
 
Hebu wataalamu wa mahesabu tusaidieni. Matumizi ya millioni 300 kwa siku nne kwa watu 14 kila mmoja hapo anatumia kiasi gani kwa siku moja?

Soma vizuri mkuu, hiyo 300Mil ni pamoja na gharama za ukodishwaji wa ndege kwenye hilo shirika la kina MS
 
• IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIA

na Mwandishi wetu

UKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal. Habari ambazo gazeti hili imezipata, zilisema kuwa ndege ya Rais mahususi kwa ajili ya safari za aina hiyo imezuliwa nje ya nchi baada ya serikali kukwama kulipia gharama za matengenezo yake.

Ni habari nzuri, lakini nilitarajia kuona taarifa za ziada kuhusiana na hilo kwenye highlight, ambalo ndilo moyo wa habari hii... lakini sijaliona!
 
Maybe they should have skipped Davos and paid for the repair bills? Common sense?
 
Back
Top Bottom