Ndege ya rais ipo kweli?

Ndege gani?Njiwa,kuku,bata,kunguru au mbuni? Ahaaa,ile raisi yaaani ya bei poa eti?Au lile gari la mkuu la kuruka juu kama njiwa?Lile!Lipo,nimeliona kuleee Vingunguti linatengenezwa,una jingine uliza nikusaidie
 
Back
Top Bottom