Kimbakuli
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 405
- 427
Ufipa kabila au kuna nchi mpya inaitwa hilo jinaUfipa safari hii sijui mtajificha wapi
Ufipa kabila au kuna nchi mpya inaitwa hilo jinaUfipa safari hii sijui mtajificha wapi
Kasome taarifa ya utafiti ya TWAWEZA.Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
2020 ni lazima CCM wafanye wizi mkubwa kabisa wa kura kuwahi kutokea katika historia ya chaguzi za vyama vingi nchi hii.Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Hii ni habari njema sana!.Ndege yetu mpya aina ya Boeing 787 Dreamliner inatua nchini kesho 08/07/2018 saa 8:00 mchana.
Karibuni wote tuungane na Rais Magufuli katika mapokezi ya ndege hii.
Pia soma> Ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing yafanya majaribio ya kuruka
Hiyo ndo itafanya apendwe? Subiria TWAWEZA next findings.....Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Umeona wapi CHAMADOLA kimekula mweleka?Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
sasa kama unayajua hayo unajiitaje mpinzani au unapotezaje muda kushabikia upinzani hali ya kuwa ktk chaguzi mshindi anajulikana jifunze kutoka kwa majirani walitimiza uliyoyataka mwisho wa siku nini kilitokea,muda mwingine ni heri bhangi ukaivuta kuliko kuitumia kama mboga tuache kulialia.Hata akipata 100% ni sawa sitashangaa,mwenyekiti wa tume anateuliwa na nani?mkurugenzi wa tume je?na wanapewa na vyeo uchaguzi ukiisha,wakurugenzi wa halmashauri ni wateuliwa wa nani?na si ndo wanasimamia uchaguzi?polissm je?lazima mshinde vizuri.unaamini huwa wanashinda kwa haki?
hivii TUNAWEZA wamesema sizonji amepanda kwa asilimia ngapo vileeeNa ndivyo itakavyokuwa hivyo. Hata hiyo 10% kwa Ukawa ni kubwa mno; ni chini ya hapo.
Hii takwimu ndio inayosema wasomi 47% wanakataa ni wale wa Udom wanaoshindwa kujua hata kirefu cha A.T.M tuanzie hapoNahisi wa Tz wengi wameanza Kuelimika hao wajinga na washamba pia, wameanza kustuka hivyo labda kwa wizi wa kura tu.View attachment 804408
Kama uchaguzi wa Kinondoni ni sawa kusema hivyoMuda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
kwa tume hii hata wakipata hiyo 10% washukuru mungu. juzi aliyekuwa mkurugenzi wa uchaguzi kailima kazwadiwa cheo serikalini. teh htehhMuda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Kwani hizo zilizitangulia zimeleta jipya gani zaidi ya kututia hasara tu?Habari mbaya sana hii huko Ufipa
Boeing wamepata pa kulisikumia hilo dege na watanzania wanashabikia kama mazuzu vile.
Imeshanyanyuka na jana ilitua pale ufipa. Hujaiona bado?Ile iliyokwama Mwanza ilishanyanyuka?