Ndege ya nne, Boeing 787 Dreamliner kutua nchini kesho Julai 08, 2018 saa nane mchana

Hii inayotua kesho ndioo inauwezo wa kubeba abiria wangapi wakuu ?
 
Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Nahisi wa Tz wengi wameanza Kuelimika hao wajinga na washamba pia, wameanza kustuka hivyo labda kwa wizi wa kura tu.
20180707_125329.jpg
 
Huku kijijini kwetu nanyumbu ndege haituhusu kabisa, shida yetu ni;-
1. Maji
2.Zahanati
3.Madarasa na vitabu
4.Umeme, na
5. Pembejeo

Mwambie hizo ndio shida zetu alizoahidi kututatulia lakini mwaka wa 3 sasa bila bila, sasa ndege sisi ya nini ATCL lenyewe linaingizaga hasara tu kila mwaka, shirika gani sasa hilo

Vipaumbele iwe matatizo ya wananchi wengi p'se
 
Ufipa safari hii sijui mtajificha wapi
 
Back
Top Bottom