Ndege ya nne, Boeing 787 Dreamliner kutua nchini kesho Julai 08, 2018 saa nane mchana

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Ndege yetu mpya aina ya Boeing 787 Dreamliner inatua nchini kesho 08/07/2018 saa 8:00 mchana.

Karibuni wote tuungane na Rais Magufuli katika mapokezi ya ndege hii.

Pia soma> Ndege mpya ya Tanzania aina ya Boeing yafanya majaribio ya kuruka

DhfrEuyWsAEo_-R.jpg:large.jpeg


Mpyaa.png
 
Muda ndo utasema kama Raia wanamuelewa au la....... Trust me, mwaka 2020 Ukawa mtapigwa 90% kwa 10%. Kitakuwa kipigo cha Mbwa koko
Hata akipata 100% ni sawa sitashangaa,mwenyekiti wa tume anateuliwa na nani?mkurugenzi wa tume je?na wanapewa na vyeo uchaguzi ukiisha,wakurugenzi wa halmashauri ni wateuliwa wa nani?na si ndo wanasimamia uchaguzi?polissm je?lazima mshinde vizuri.unaamini huwa wanashinda kwa haki?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom