Ndege ya mizigo ya Tanzania Boeing 767-300 kuweka historia kimataifa

Jun 4, 2022
68
184
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kupokea ndege ya kwanza ya mizigo Boeing 767-300 yenye uwezo wa kubeba tani 54 kwa mara moja ili kutatua changamoto za wafanyabiashara za usafirishaji wa mizigo duniani.

 

Attachments

  • Yk2QxD2OU2CO_VmJ.mp4
    5.6 MB
Write your reply...HU NI ZAIDI YA UPUUZI...Tunachangomoto nyng sna kwnye sekta nyng hasa afya na elimu.badala tuboreshe ttunakimbilia kwnye mavitu za hovyo.nani ametuloga jamani
 
Maajabu kuna waTanzania wanatukana na wengine kuombea mabaya, kitu ambacho kinawasaidia wenyewe.

Haswa wale wa upande ulee, hawamaga jema, wao kila kitu kwao kibaya
 
Ila kama kweli tuna deni SI tulipe? Hata vitabu vya Dini vinatuasa kupatana na Wadeni wetu, tusione aibu
Dawa ya deni ni kulipa, ila hayo madeni yetu yana namna isiyo ya kawaida, ndio maana jamaa wanawinda mali zetu
 
Back
Top Bottom