Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 17,796
- 32,148
Mnaingiza ndege wakati zingine zinapaki kodi zetu hazina Kazi.
Air TANZANIA haiwezi survive bila Magufuli huu ndio ukweli, zaidi ya kuchezea kodi zetu tu
Sikia mkuu kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake kuna mambo serikali yanafanya yapo vizuri sana lakini kuna mengine wanakosea sasa unaposema ivyo unakuwa unakosea sana je kipindi magufuli hakawa rais taifa lilikuwaje?