Ndege ya Mizigo Air Tanzania hii hapa. Kitu kipya!

Ungekuwa umeshapata akili miaka ya 1979/80 ukashuhudia matokeo ya vita ile ya 78/79, leo ungeweza kutambua kuwa maisha magumu ya wakati huu ni matokeo ya utawal mbovu wa miaka mitano ya magufuli
.
Wewe taahira niambie mchango wa Magufuli kwenye kufanya
mchele kuwa 3500
Maharage 4000
Unga 2000
Petrol na dizel kuwa 3200

Hebu tuchambulie kisomi mchango wake kwenye hilo, vinginevyo si kila mtu ana mavi kichwani kama ilivyo kwako
 
Wewe taahira niambie mchango wa Magufuli kwenye kufanya
mchele kuwa 3500
Maharage 4000
Unga 2000
Petrol na dizel kuwa 3200

Hebu tuchambulie kisomi mchango wake kwenye hilo, vinginevyo si kila mtu ana mavu kichwani kama ilivyo kwako
2019 na 2020 Maamuzi ya jiwe.
 
Back
Top Bottom