Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,282
- 1,096,054
Mbona kipindi mnamlaumu hamkumbuki haya maneno
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.
#YNWA
Zilinunuliwa na serikali ya JMT kwa kutumia kodi zetu.
#YNWA
Bora tu ubakie na kampeni yako ya kukataa ndoa maana akili huna.
1979/80 ulishaachana na nepi?Kwa uchambuz wa akili yako kipi alifany maguful kilichosababisha maisha yawe magumu kipind hiki?
Hii ndege iliagizwa miaka 3 iliyopita tusubiri za mama naye kaagiza 3Kwaio za abiria hazina uhitaji .Kwamba ukitak kwenda huko unakopeleka mizigo utapanda hio cargo
Watu washakula 80 bn TZS cha juu wametulia, wanawachora tu mnavyoraruana kwenye keyboardNdege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Kwahiyo ndio kipindi hicho bili ya dola milion37 ikalipwa milioni 80+?Hizi Ndege zininunuliwa wakati wa Magu.
punguzeni uchawa
Mungu akubarikiHakika wew ni #KAFISADI Kadogo kadogo
Jibu ulichoulizwa.1979/80 ulishaachana na nepi?
AminaMungu akubariki
Hii ndio STUPIDITY???? 😄 😄 😄Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Aisee siipendi ccm ila Mama Samia pekee ndiye ninayemkubali safi sana mama kwa ndege ya mizigo ikiwezekana tuwaachie wawekezaji wa ndani na nje kusafirisha abiria sisi to deal na mizigo.Ndege ya kwanza ya mizigo mali ya Air Tanzania A 767-300 imeonekana katika karakana ya Boeing Washington ndege hiyo ina namba za usajili 5H-TCO.
Hizi ni miongoni mwa ndege 4 ambazo zinatarajiwa kuingia nchini muda wowote kuanzia hivi sasa.
Kwa hili la Rais Samia kuongeza ndege za mizigo ni kama amegusa mahali penyewe ikiwa ndiyo mahitaji makubwa kwa nchi kusafirisha mizigo kwenda sehemu mbalimbali Duniani.
View attachment 2550104
Kwa ndege hiyo ya mizigo ni hatua nzuri kiuchumi hivyo kwa sasa nguvu kubwa ielekezwe kwenye uboreshaji wa majengo ya mizigo, JNIA, MWANZA na Songwe airports