Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

Amekiuka masharti ya kutoruka alipo au nchi aliyo fia so r.i.p bob s

Mkuu TIQO tuache masihara.....mimi sielewi nani amekufa hapa kati ya mtoto au baba......ni habari mbaya sana kwangu hii.......
 
Last edited by a moderator:
Amekiuka masharti ya kutoruka alipo au nchi aliyo fia so r.i.p bob s

Mkuu TIQO tuache masihara.....mimi sielewi nani amekufa hapa kati ya mtoto au baba......ni habari mbaya sana kwangu hii.......
 
Last edited by a moderator:
kuna rafiki yangu kanipigia simu sasa ivi kutoka arusha mfanyabiashara wa moshi aitwa babu sambeke ameanguka na ndege yake na amefariki... nafatilia na wengine mlio karbu tujuzane. kwa sasa niko mbali na jiji langu arusha......
 
Mkuu TIQO tuache masihara.....mimi sielewi nani amekufa hapa kati ya mtoto au baba......ni habari mbaya sana kwangu hii.......

Serious business here......poleni wahanga.
 
Last edited by a moderator:
Hii habari bado haijaeleweka Mods tusaidie kuweka mambo sawa. Je ni mtoto au baba mtu aliyefariki? Na je? Huyu ndio yule bob sambeke aliyekuwa jambazi maarufu moshi?
 
Yup,
Ni Bob Sambeke mwenyewe, ni baba wa Jamal.
Mwanae ni mjeshi, Captain wa jeshi, naye pia amekuwa pilot, lakini siye aliyehusika na ajali.



Nooo Asee..

Inakuaje virenga wanaondoka hiviii??? Me nilijua ni Chalii ake mana najua chaliii nae alikuwaga na interests sana na ndege enzi za SkyDivin Arusha chini.

Pumzika Kwa Amani Bob.
 
babu Sambeke hakuwa rubani wa Nyaga walikuwa wanamiliki ndege iliyoanguka last 2 yrs na kuua rubani ikikaribia kutua KIA walikuwa marafiki Nyaga hakuwa na uwezo wa kumwajiri babu ni bilionea mwingine na Nyaga amekufa akidaiwa na babu fedha kiasi kikubwa
 
Mfanyabiashara mkongwe na maarufu mkoani Kilimanjaro Bw.BABU SAMBEKE amefariki dunia kwa ajali ya ndege mkoani Arusha katika eneo la Kisongo baada ya kupata hitilafu.

SOURCE FB WALL YA DIWANI ALBERT MSANDO.
 
Preta ni Bob Sambeke mwenyewe sio Jamal. Dah so sad aise Babu Sambeke. Rest in eternal peace mkuu
 
Last edited by a moderator:
PakaJimmy hakika nilipopata habari hii nilishtuka sana na bado sijaamini ila hakika ni habari nzito sana hapa Jijini Arusha.

Tunashukuru kwa habari hii Kiongozi wangu!


Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba ndege iliyokuwa inamilikiwa na Wakili maarufu Marehemu Nyaga Mawala aliyefariki wiki 3 zilizopita na kuzikwa huko Nairobi imeanguka ikiwa katika hatua za mwisho za kutua (final approach) katika kiwanja cha ndege cha arusha.

Taarifa zinasema kuwa ndege hiyo ilikuwa na rubani pekee anayejulikana kwa jina la Jamal B S, au maarufu kama Bob Sambeke aliyekuwa anatokea West Kilimanjaro.

Taarifa zaidi zinasema kuwa hali ya rubani huyo si nzuri sana, na amekimbizwa kwenye hospitali ya Mount Meru kwa matibabu.

Maelezo zaidi kuhusu ajali hiyo ni kwamba ndege hiyo ilijaribu kutua baada ya masaa ya kawaida ya kufunga kiwanja(saa 12.30jioni) kupita.

UPDATE:
BOB SAMBEKE ALIYEKUWA RUBANI WA MAREHEMU WAKILI MAWALA. NYAGA NAYE KAFARIKI DUNIA MUDA MFUPI ULIOPITA.

NI TAARIFA MBAYA MNO!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom