Mangungu
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 2,404
- 3,061
Hahaaaa unanifanyia udukuzi kwenye mawasialiano yangu eeeh..
Haha tehe tehe, kigogo umenichekesha sana,kwamba nimekua Eddo Snowden!!!
Hahaaaa unanifanyia udukuzi kwenye mawasialiano yangu eeeh..
God save these passangers. I destroy every plans of satan in Jesus name. May they land safely.
1.4.2014,mbona bado Sana!!!Hebu toeni ripoti ndege imeonekana kimbiji abiria wote wako salama.
God save these passangers. I destroy every plans of satan in Jesus name. May they land safely.
Hebu toeni ripoti ndege imeonekana kimbiji abiria wote wako salama.
Hii ndege imepotea about 9 hrs ago. Awful.
Wenzetu wa-oz wameshajua abiria wao waliopanda hiyo ndege, sisi Membe sijui kama ameshafanya juhudi zozote kujua ikiwa kuna mtz humoView attachment 143461
Mungu awasaidie tu wasidhurike
Itakuwa,simu zimeisha betri
hapana ni sungusungu wa kikristoHamna suspecion ya Al Qaida hijack?
yaani ata avata yako inaonyesha wewe ni kilaza wa namna gani,some news utakiwi kuwa na matani ya kipuuzi kama haya,f%***la mkubwa weweItakuwa,simu zimeisha betri
hapana ni sungusungu wa kikristo