Mipangomingi
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,713
- 2,062
China wamepeleka meli mbili South Sea kwa ajili ya utafutaji na/au uokoaji
Japo ni maneno yasiyoridhisha kwa wapenda uhai, lakini huu ndio ukweli. Ukisikia ndege imepoteza mawasiliano na makadirio ya muda wa kutua yamepita-kuendelea kuwapo angani ni nadra sana. Aidha itakuwa imetua kwa dharura sehemu nyingine au imekwishaanguka. Very sad lakini ndio uhalisia wa ndegeSasa wa land safely wapi..in aviation when u hear that the plan has lost all contacts it means it not on air st all..flying from to beijing from malaysia you cross to the rough terrains of vietnam....survival is insignificant and almost zero
Japo ni maneno yasiyoridhisha kwa wapenda uhai, lakini huu ndio ukweli. Ukisikia ndege imepoteza mawasiliano na makadirio ya muda wa kutua yamepita-kuendelea kuwapo angani ni nadra sana. Aidha itakuwa imetua kwa dharura sehemu nyingine au imekwishaanguka. Very sad lakini ndio uhalisia wa ndege
Wameshatangaza imeanguka karibu na kisiwa cha thu cho vietnam.
Duh aisee kuna aliepona?
Imeshaanguka, Bahari ya Kusini ya China. Taarifa kutoka Serikali ya VietnamUkichek tv Beijing a/pot ni msiba sa sijui wameshajua ka unavyosema au la, dah watu 239 ni wengi mnoo
It Crashed at the Southern Sea of Vietnam. Vietnam official Statement quoted navy official. Ni msiba kwa kifupiBado hakujawa na taarifa za kina.
Hahaha, hapo nimekumbuka member mmoja humu alisema yeye ana masaa 100,000 angani.Kweli siku mbaya ni mbaya tu, imagine chief pilot kaanza kurusha ndege toka 1981 ana 13,600hrs sasa hapo si shetani tu ndio kaingilia
It Crashes at the Southern Sea of China. Vietnam official Statement. Ni msiba kwa kifupi