Hijja Madava
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 3,302
- 1,937
Jidege Lenyewe Lilikuwa Limechoka Limenunuliwa Mwaka 1970
Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki. Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation. Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma. Rubani alitoka kwa ejector seat, amepona. Ndege imeharibika vibaya.Moshe Dayan.
mwanajeshi gani anakimbia na parachut.. angebaki apambane mpaka mwisho!!!
Ni kweli imeanguka na kuripuka moto.
Ni ndege ya Jeshi ambayo hubeba mabomu, ilikua kwenye mazoezi ya kawaida ambayo hufanyika mara kwa mara. Lakini kwa leo haikuwa na mabomu na ilikuwa na Rubani pekee.
Rubani amenusurika kwani aliruka na mwavuli, amepata majeraha kidogo na kukimbizwa hospital ila ndege yote imeteketea kwa moto.
Videge vyetu vingi vya kijeshi ni vya kizamani mno,na vingi ni misaada kutoka n,gambo ambako huwa vimeshatupiwa kwenye dust bin,kuna helicopter moja ya polisi tulipewa msaada kutoka urusi yaani ikipita juu inawafanya hata kuku wakimbilie ndani!!maana ni kelele+ hali inayoonyesha wazi kuwa ni scrap!! Ila kibongobongo inakuwa ni brand new scrap.Jidege Lenyewe Lilikuwa Limechoka Limenunuliwa Mwaka 1970
Huwa wanazichoma wenyewe;
lengo ni nini hasa? maanake mi nina kichwa kigumu
Je, haukuona yule afisa manunuzi aliyeamuza kutengeneza bomu ili alipue ofisi ya uhasibu na dili ikafeli?
Mh wee acha masihara,yaani apambane na moto.!!!
Huwa wanazichoma wenyewe;
Pole kwa wahusika.
Nimewahi kusikia kuhusu marubani wa Mwanza kwamba wana matatizo kidogo katika kufanya formation flying,ambayo ni rahisi sana. Kama mimi kwa mfano ni past master katika formation flying.