Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

Hili nalo ni tukio, kama ni la episode au halisi hayo sijui lakini aslimia fulani ya akili itakuwa diverted.
 
Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki. Zilikuwa zinaruka mbili kwa formation. Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma. Rubani alitoka kwa ejector seat, amepona. Ndege imeharibika vibaya.Moshe Dayan.

avatar9227_6.gif
Basi hata picha ya kasimu ka Mchina Jeshini wanazuia??
basi hata moshi wake maana mpaka sasa tumeamini ila wengine nu Tomaso
 
Ni kweli imeanguka na kuripuka moto.

Ni ndege ya Jeshi ambayo hubeba mabomu, ilikua kwenye mazoezi ya kawaida ambayo hufanyika mara kwa mara. Lakini kwa leo haikuwa na mabomu na ilikuwa na Rubani pekee.

Rubani amenusurika kwani aliruka na mwavuli, amepata majeraha kidogo na kukimbizwa hospital ila ndege yote imeteketea kwa moto.

Safi sana kamanda umeiva
 
Jidege Lenyewe Lilikuwa Limechoka Limenunuliwa Mwaka 1970
Videge vyetu vingi vya kijeshi ni vya kizamani mno,na vingi ni misaada kutoka n,gambo ambako huwa vimeshatupiwa kwenye dust bin,kuna helicopter moja ya polisi tulipewa msaada kutoka urusi yaani ikipita juu inawafanya hata kuku wakimbilie ndani!!maana ni kelele+ hali inayoonyesha wazi kuwa ni scrap!! Ila kibongobongo inakuwa ni brand new scrap.
 
Back
Top Bottom