Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Ha ha ha hahii jet msimuoneshe Magufuli asije akatamani safari za nje bure....
Ha ha ha hahii jet msimuoneshe Magufuli asije akatamani safari za nje bure....
Si kweli kwamba wamwachwa nyumaBoeing sasa hivi wameachwa nyuma sana Kitekonolojia na AirBus, wana kazi kubwa sana ya kuwafikia AirBus leo hii, kwa maana AirBus wanauza kama hawana akili nzuri wanavunja rekodi kila siku kila mahali bado kuna ya mizigo Airbus beluga ni noma!
Airbus Beluga - Wikipedia, the free encyclopedia
Usinikumbushe........mimi nilitoka North Pole mpaka Antactica.........tulitua kujaza mafuta Darfur.........ile safari sitakaa nisahau.........
Basi nimeamini phastjet kama bus yaahi kwenye ndege lisaa limoja wachoka yawezakana wamebana siti zikawa siti nyingi hili wabebe abiria wengi na haukuwa comfortable hasa miguu kuto kunyooka na ukupata huduma ya kuulizwa kila saa what do you want.Hela yako inakupa kitu cha thamani ukilipa kidogo usitegemee kupata huduma nzuri ukilipa nyingi tegemea huduma nzuri,try precission au mashirika mengine.Safari ya one hour uwezi ifurahia coz ni fupi mno mkipaa tu baada ya nusu saa mwanza shuuka.Lisaa limoja tu la Fastjet Mwanza - Dar nachokaga sembuse hayo 17?
Ukiwa economy class lazima uchoke lakini ukiwa business class habari nyingine safari inakuwa nzuri na murua sana hata treatment yake tofauti kabisa na economy class,ukiwa daraja la kwanza utajihisi we mfalme katika safari yako kutokana na huduma utakazo pata.Dubai to Houston tu ilikuwa ni utata. Flight ndefu zinachosha sana
Mazingira haya huwezi kuchoka nani ya A380 800.
On board Emirates Airbus A380 in flight
Source: Albaonthego youtube
Unafanya production kuenda na business plan yako na evaluation modal bila kusahau market target, for me and i think Boeing think the same that it's very expensive to develop a new jumbo plane where by market for a such plane can be challenges,but its better to develop smaller efficient aircraft for short distance flights than developing huge plane.I think Boeing considered also the fact of time and technical difficulty in making a huge plane after Boeing 747.Also the current market trend is for B777's or Airbus A 330's this type can be used interchangeable in short and long haul depends on passenger traffic,all in all this is how market dynamics work.Ila ni kwamba ...????
Nilitoka Newala(Mtwara) hadi DarTokea wapi mpaka wapi mkuu, hakukua na lami wakati huo barabara zikiwa mbovu sana
Hehehehehe mkuu mbona umejihami heheheHalafu ukimuona mbogo ana safari kupitia hiyo route ujue ni punda.simainishi wewe lakini
Haaaa.. HaaaMzee wa msoga hakuwemo, maana Ndege kama hiyo inamfaa sana
ni AIRBUS MKUUMkuu hiyo ndege sidhani kuwa ni Airbus 380,nijuavyo mimi ilikua ni Boeing 777-200 LR flight number EK 449 na ilifanya hiyo safari tarehe 2-3-2016 imesafiri kilometer 14,203 non stop.
HAHAHAAAAAAAAAAAAHakuna ndege yule mzee hajapanda mkuu