Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

3cd1d6e81b72be37835ca97ded019a4b.jpg


Iringa Mjini to Mwatasi
Bila shaka umesoma Pommerini ha ha haaaa nlisoma huko kidogo pakanishinda hiyo makitu nimepanda sana
 
Kwa taarifa yako na wengine wasiojua. Hii sio safari ndefu ya ndege ya abiria kama unavyodai. Ilikuwepo safari ya masaa 18:30 kutoka Newark Liberty Intenational Airport -USA hadi Singapore Changi Airport ikifanywa na Singapore airlines. Ndege ilikuwa airbus A340-500 na safari ina umbali wa km 15,343. Ilikuwa ina julikana kama Singapore Airlines flight 21. Hiyo safari kwa sasa imesitishwa.
Mkuu kama mimi nimeelewa hiyo 'record" ni ya Emirates kama shirika,kwamba ndege zai hazikuwahi kusafiri umbali mrefu kiasi hicho....Hata ukingalia habari inasema record hii ni kwa ndege ya Emirates
 
Mkuu kama mimi nimeelewa hiyo 'record" ni ya Emirates kama shirika,kwamba ndege zai hazikuwahi kusafiri umbali mrefu kiasi hicho....Hata ukingalia habari inasema record hii ni kwa ndege ya Emirates
Ni kweli. Lakini mwanzisha thread yeye ameandika ''Ndege ya shirika la Emirates imekamilsha safari ya moja kwa moja ndefu zaidi duniani kutoka Dubai hadi New Zealand''.
 
Safari ndefu niliyowahi kwenda ilikuwa masaa 11 nonstop yaani sina hamu kabisa.

Napenda kusafiri lakini masaa mengi hivyo utaangalia movie utachoka utasikiliza music utalala utaamka ndio kwanza unavuka bahari duu shidaaaa
Mwenzio nilisafiri masaa 72 kwa basi yaani siwezi kusahau kamwe
ulikuwa mwaka 1989
 
Massa yote hayo kwenye hiyo chupa ya chai!? Watu wana mioyo migumu.
 
Usinikumbushe........mimi nilitoka North Pole mpaka Antactica.........tulitua kujaza mafuta Darfur.........ile safari sitakaa nisahau.........
Hahaaaa Leo nimecheka jf kla. MTU kaenda mbele
 
Mazingira haya huwezi kuchoka nani ya A380 800.

On board Emirates Airbus A380 in flight


Source: Albaonthego youtube
 
Natamani safari ndefu japo 1 tu kwa mwaka si mbaya. Ila mkuu ndiyo hivyo tena amebana hadi hivi sasa sijui nitasafiri lini tena!
 
Natamani safari ndefu japo 1 tu kwa mwaka si mbaya. Ila mkuu ndiyo hivyo tena amebana hadi hivi sasa sijui nitasafiri lini tena!

Mkuu,
Si unaona video clip (post no. 54) hapo juu jinsi watu walivyokuwa wanafaidi first na business class utawala wa awamu ya nne hata safari iwe ndefu vipi, ndiyo maana walikuwa hawachoki kusafiri kila siku .
 
Hahaha iyo kitu gani nakumbuka mwaka 1994 tulitoka na saibu basi arusha to singida siku 4 njiani sembuse masaa17
 
Back
Top Bottom