Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

Ndege ya Emirates yaweka record kukaa hewani masaa 17

Mbona Nairobi-Mza ni masaa 14 bila kuchimba dawa. Hiyo tofauti ya saa 3 nitaongezea kufika Musoma. Same thing. Nina hakika hiyo ndege ina in-flight bar gorofani. Hamna kuchoka hapo, ukizingatia Emirates wanamwaga vinyo kuliko makampuni mengine yoyote duniani.
 
Back
Top Bottom