Ndege ya ATCL yapata hitilafu angani!!

Mar 6, 2010
74
0
---yakatisha safari na kurejea dar
---ilijaa viongozi wa serikali walioenda kuhudhuria sikukuu ya wanwake dunian iliohitimishwa na rais jk


ndege ya shirika la ndege atcl juzi ilikwamisha safari za maofisa waandazi mi wa serikali kadhaa waliojazana kukuelekea tabora kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani

ndege hiyo iliondoka ikiwa imejaza maofisa hao ililazimika kuridi njian baada ya kupata hitilafu ikiwa angani na kusababisha kurudi...baadhi ya maofisa wa serikali waliohojiwa walikiri kukatishwa afari na kurdi dar ambapo ndege iliarisha kabisa safari ya tabora na hivyo kukosa siku hiyo muhimu

hataa hivyo kaimu mkurugenzi wa atcl bw william haji alipopigiwa simu ilibaki inaita kablya ya kujaribu tena na kupolekewa alisema tatizo lililoisibu alikuwa kubwa kama watu wanavyolikuza

kama kungekuwepo na hitillafu ningejua..lakini kama ilikuwapo ya kawaida imerekebishwa..

Kilichotokea siku hiyo ndege ilicheelewa kupona na muda wa kutua tabora saa tisa kutokana na kuingia giza mapema...jambo lililolazimishwa safari kukatizwa..

Hata hivyo alisema mzigo wa gharama a kuhifadhi mizigo na abiria zilikuwa juu ya atcl

srce nipashe 9march 2010
 
kama kungekuwepo na hitillafu ningejua..lakini kama ilikuwapo ya kawaida imerekebishwa..

Kilichotokea siku hiyo ndege ilicheelewa kupona na muda wa kutua tabora saa tisa kutokana na kuingia giza mapema...jambo lililolazimishwa safari kukatizwa..

Hata hivyo alisema mzigo wa gharama a kuhifadhi mizigo na abiria zilikuwa juu ya atcl

Majibu rahisi kwa mambo mazito.
 
Mmoja wa maofisa anasema alianza kucheka
baaa ya kuambiwa kuna hitilafu watu wakaanza
kuwaita wahudumu a kuwapa namba za simuza ndugu zao incase
wakifa ....watu wakaanza kujiuliza wanauhakika gani awa awafi?
 
Inabidi chombo kinachdhibiti usalama wa ndege kufanya uchunguzi wa kina wa hizi ndege za ATCL, vinginevyo zitaua watu. Jibu alilotoa kaimu mkurugenzi wa ATCL ni jepesi mno kwa tataizo kubwa kama hili.
 
Wanafanya makusudi ili kuhalalisha wawekezaji wa nje kuja kuingia nao ubia kwa ten percent.
 
jamani jamani ATCL ina maana ndege zenu ni mbovu au inakuwaje mnatuogopesha ...
 
kwa sasa Atcl imebakiwa na ndege mbili nadhan na moja ndio hiyo Dash inayofanya route kama daladala mana kama jana kuna wadau wametoka mwanza saa6 usiku kuelekea dar..yaani imekuwa anapiga mzigo kupita maelezo..sasa hizi bip bip mwisho kitu kitaitika Angani
 
Sijasoma mambo ya aviation lakini nikipewa hilo shirika lazima litakuwa na positive impact. maana kama wasomi wa sekta hiyo wanatufail kwa maslahi binafsi sidhani kama tunawahitaji tena. waende wakaombe kazi botswana

matukio haya yananifanya nijengi kutowaamini hawa jamaa wa atcl kabisaaa
 
mpaka tufe kwanza ndo serikali itaamua mambo ya maana otherwise ni kuchekacheka kama kawa
 
Matatizo ya ndege huwa yanakuwapo tu. Tatizo la ATCL ni ndege moja tu walionanyo hivyo ikiwa na hitilafu kidogo kila mtu anakuwa anafahamu. Lakini hata hayo mikampuni mikubwa vitu kama hivi vipo.
ACTL iko ICU na inatakiwa itoke huko. Serikali inatakiwa iangalie jinsi ya kuinusuru hii national flag carrier. Mugabwe pamoja na yote hayo yote laki air zim bado inatamba angani...Again..Priorities za viongozi wetu nidyo tatizo.....
 
Si matukio mazuri kila siku kutokea maana ghrama zake kwa maisha na uchumi wa nchi ni kubwa sana, watendaji badilikeni na muwe na mikakati ya kuboresha vyombo na miundo mbinu hii
 
Mungu aepushie mbali lakini huko tunakokwenda hawa ATCL watasababisha maafa sasa hivi. Hivi kwanini wasisistishe huduma wafanyie ukarabati mavitu yao haya?
 
Back
Top Bottom