Ndege ya abiria yaanguka uwanja wa ndege Somalia, abiria waokolewa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Jubba.jpg
Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana.

Baada ya ndege hiyo kugeuka chini juu, idara ya usalama waliwahi eneo la tukio na kuokoa watu 36 waliokuwa ndan ya ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikifanya safari za ndani ya nchi kutoka Baidoa kwenda Mogadishu.

-----------------------

Somalia plane crash: Plane flips over at Mogadishu airport

A plane has crashed and flipped over on landing at the airport in Somalia's capital but there were no fatalities among the 36 people on board.

Dramatic footage shot near the airport in Mogadishu shows thick black smoke rising above the crash site.

Firefighters doused the flames and pictures from the scene show the plane, a Fokker 50, upside down.

It belonged to Jubba Airways and it was an internal flight from the city of Baidoa to the capital.

The passengers and the crew were all rescued, according to the airport authorities who were quoted by state media.

The cause of the crash is not yet clear.

In a brief statement, acknowledging the incident, Jubba Airways said that it would release more information about what happened "as it becomes available".

Source: BBC
 
Back
Top Bottom