Hizo ndege Zingefaa kipindi kile cha JK, kwa sasa hata kula yetu tu ni shida ndege wamebaki kupanda wafanyakazi wa asasi za kiraia na mashirika makubwa.. wananchi wa kawaida wanaoweza kujikamua wamebaki wachache mno. Nilipanda fast jet week mbili zilizopita tulikua nusu..ndege ya watu 96 tulikua kama 45 hivi
somesha mwanao aje aenjoy kupanda kama sisi asije kwama kama wewe hali tete hoi-bin taabanWatapanda wenyewe sisi walalahoi tutakuwa tunaziangalia tu
Watoto wangu wapo shule za kata sina uwezo kama nyiesomesha mwanao aje aenjoy kupanda kama sisi asije kwama kama wewe hali tete hoi-bin taaban
Wewe ndiye huelewi!!Mkuu mbona unataka kujioa ufahamu,na ushamba uliopitiliza?
Kwani hujui hata haya mabehewa ya treni ya abiria yana natabaka?
Hayo matabaka yalikuwapo na yataendelea kuwapo.
From now up to 26/4 many many ahadi zitatolewaWhy always July? Mimi sipokei tena ahadi, nazisubiri ziwasili nizipande. Basi.
Mzee Tupatupa
Kwani Chadema CCM?Hiyo terminal 3 hapo Julius Nyerere serikali hii ndio imejenga au Mkwere ?
Ulitaka ijae kama daladala? JK angenunuaje ndege wakati pesa za kununua ndege ndege mlikuwa mnazimbilinyi kwa ulevi kwenye mabaa.