Hili nalo jamboUnaishi porini, ingekuwa mjini njiwa pori asingeonekana.
Ha ha haaaa kwa ushauri huu PM haihusikiHakuna mahusiano na imani yeyote, hao ni ndege wanatafuta hifadhi sehemu yenye usalama, na kizuri kama utaweza kuwatunza vizuri tegemea kupata award nzuri toka kwa mashirika ya nje yanayohusika na kulinda na kuhifadhi njiwa,PM tuongee
mkuu ndumba bhanaNdumbu?