Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

Viongozi wa Africa bado wamemzidi huyo...kwani nae Ana tabia za akina mseveni kutaka kuwaachia madaraka wakina muhooz?
Ni muuaji?
Mshirikina?
 
Kwa mila za kwetu tunaamini, ukichoma nyumba yake, nayq kwako anakuja usiku anachomq, nilikuwa simpendi maana marafiki zangu walipenda kunitania kwa kuniita jina lake, kisa nina kisogo
Tuwekee picha tuone kama kweli mnafanana au rafiki zako hawajui kufananisha.
 
Attachments

  • Screenshot_20250504_115535_Chrome.jpg
    Screenshot_20250504_115535_Chrome.jpg
    186.4 KB · Views: 15
Ukimkamata huyo fundi chuma ukamkaanga unga wake paka mwili mzima hauvuki mwaka una golofa
 
Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁
Yani unaweza kufumua kiota chake hadi ukachoka kwa namna kilivyo kikubwa.... Inasemekana akiishi karibu na mazingira ya watu utakuta hadi vikombe, vipande vya vyuma, vipande vya mafuvu ya wanyama na mengine kibao.
Maisha yake ni kama amepewa adhabu ya kukusanya tu vitu hadi kufa kwake... Akitoka kula anaingia kukusanya chochote na kwenda kukiweka mahali palepale mpaka mauti yanapomkuta

Soma habari ya kiingereza hapa chini ndio utajua kwanini wazungu wamemfananisha huyu ndege na viongozi wa CCM

Hamerkop is a bird in the family of crows or ravens, cranes or all or none. It is a bird that builds a nest the size of a Toyota Probox or Noah. It then embarks on a mission to fill the nest with stuff. Unnecessary Old metallic cups, old ropes for tethering cow, bicycle sprockets and broken shimta, axe heads, ancient cattle skulls that has defied dogs for millennia, broken pots, broken fork-jembe tines..... stuff. Stuff that will never help the bird or its family in any way. It is as if the bird is condemned to a life of perpetual kleptomania. Stealing and hoarding stuff that will never help it in its lifetime.

This bird is a close relative of most African leaders. You see, they steal billions of shillings and stash them in safe havens (banks) abroad, a Namulobi's nest of some sort.

They don't get to spend even a one-million of that wealth in their lifetime. They also grab thousands and thousands of acres of land. Land that they will never put to use. Land where only Chikhisi (antelopes) Chinjusi (Foxes) recides. They are condemned to a life of perpetual kleptomania just like the bird though the bird has a brain smaller than that of a plankton.

The size of Namulobi's nest can be compared to the palaces our strongmen build. Big, unnecessary and extravagant Mansions that don't benefit them.

View attachment 3324173View attachment 3324171
Kumbe unasema fundi chuma?
Huyu nyumba yake ni mzigo wa nyasi wakula ng'ombe kumi wiki nzima
 
Hiyo picha ya kiota uliyoweka hapo sio kiota cha fundi chuma hicho bali ni weaver birds.
 
Nimeikuta mahali nikaileta ilivyo mkuu
Huyo alieweka hiyo picha hajui. Kiota cha fundi chuma ni kikubwa lakini hakifikii hicho cha weaver birds ambacho kinasukwa na ndege wengi wanaishi hapo kama colony.

Pia sifa nyingi zilizoandikwa hapa kumhusu huyu ndege ni kweli lakini zimezidishwa chumvi (exaggeration).
 
Back
Top Bottom