Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

Huyo alieweka hiyo picha hajui. Kiota cha fundi chuma ni kikubwa lakini hakifikii hicho cha weaver birds ambacho kinasukwa na ndege wengi wanaishi hapo kama colony.

Pia sifa nyingi zilizoandikwa hapa kumhusu huyu ndege ni kweli lakini zimezidishwa chumvi (exaggeration).
Leta zako za ukweli sasa
 
Kwa mila za kwetu tunaamini, ukichoma nyumba yake, nayq kwako anakuja usiku anachomq, nilikuwa simpendi maana marafiki zangu walipenda kunitania kwa kuniita jina lake, kisa nina kisogo
Dah hahahahahahahaa nmeenda kumuangalia huyo ndege nimecheka sana, kwahyo mkuu kichwani upo kama yule ndege.
 
Back
Top Bottom