pmwasyoke
JF-Expert Member
- May 27, 2010
- 4,593
- 2,978
Mkuu inatosha kumpa Eng. Chizi heshima yake. Huna haja ya kuendeleza sifa kwa "ma Eng" wote wa Tanzania. Sijui kama umejaribu kupata data za viwango vya wizi ambavyo vimefanikishwa kwenye miradi ya barabara tu kupitia Wizara ya Ujenzi tangu enzi za mipango kama ule wa 6th Highway Programme hadi leo. Huko ndiko wengine tulikoanza kusikia baadhi ya wahandisi wa Kitanzania wakijipatia umilionea wa pesa ngumu (US$ millions)!
Nimeipenda hii tafsiri ya hard currency