Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 21,652
- 43,069
wameekodisha tena ndege wakishinda kulipa watatoa bandari ipi? ya Tanga?
Watz tulie tu......naona sasa hivi watatoa bandari ya Bagamoyo.
wameekodisha tena ndege wakishinda kulipa watatoa bandari ipi? ya Tanga?
kama pesa za kununua ndege ya rais zipo, kwa nini tukose pesa za kununua ndege ya kufanya biashara na kuongeza ajira kwa watanzania?
hivi badala ya kuiacha nchi hii na rasilimali zake kama vile havina mwenyewe, Dr. Mwakyembe si alazimishe kama waziri na kusimamisha huo mkataba wa Chizi. Hii inaweza kutusaidia kulipa gharama ndogo za kuvunja mkataba leo badala ya kukaa na hiyo ndege ambayo kwa 95% ninaamini hakuna mtu mwenye nia na uwezo wa kuliendesha hilo shirika mbali na kuchumia matumbo yao. Kwa haraka naona baada ya kupoteza bandari ya Mtwara sasa naiona Serengeti kichukuliwa na Waarabu kiulaini!wameekodisha tena ndege wakishinda kulipa watatoa bandari ipi? ya Tanga?
hopefully they've learned a lesson through their previous blunders...
mkuu viongozi wote atcl ni makaimuhahahahahahaha...wanafanya kazi kama jina la kaimu mkurugenzi wao. Hahahahaha. Tanzania shangwe tu
Ngoja Precision wasikie WATAIANGUSHA SASA HIVI ! hao jamaa Noma sana ! hao ndio wanahusika na ndege kuanguka anguka ili kuua mashirika hayo! ATC kaza buti hakika mkijipanga vizuri mtaweza, Kila la KHERI , na safari zote za serikali na mashirika ua umma inabidi mpewe nyie ili kuiinua shirika ! hapo ndio soo la precision linapoanza
Wana onge aki siasa zaidi.Hiyo ndege ni mtumba na bila shaka imekodishwa.Hivi..........Ndege Mpya maana yake nini nini hasa??!!
Corporate Profile |
[TD="width: 447"]The Aerovista group of companies has been in operation for more than 13 years and is represented today by two essential arms: Aerovista (UAE) and Vista Georgia (Georgia). Aerovista is the management arm of the group, an integrated leasing operator, providing charter and leasing solutions to start up airlines as well as full scope of aviation related services. Vista Georgia is the operating arm of the group, conducting charter and leasing projects throughout the Middle East, CIS and North Africa regions. In the world of leasing solutions, Aerovista stands apart from the crowd through its offering of Hybrid ACMI, a highly flexible, unbundled approach that is customer friendly. |
The vision of Aerovista is to be a global leader in the delivery of innovative and value adding leasing & charter solutions in fast-growing, emerging markets | ||
[TD="width: 33%"] TO BE A GLOBAL LEADER | ||
IN THE DELIVERY OF INNOVATION |
| We will only lead through innovation, through finding new and better answers to the questions our clients pose |
AND VALUE ADDED SERVICES |
| Adding value means going beyond expectations. Flexibility and transparency will form the basis of our competitive edge |
LEASING & CHARTER SOLUTIONS |
| Our focus is on wet lease capacity solutions and charter projects, custom-built around a client's individual needs |
IN FAST GROWING EMERGING MARKETS |
| Our marketplace will be the fast growing economies of the world, where we bring specific, valuable and not easily replicable skills |
Hiyo ndio hofu yangu! Btw, umeona jina la huyo meneja? Jina lake tu linanikatisha tamaa, Chizi?!!!!" Kuna shirika tena hapo?
| [TABLE="class: mainboundry"] [TR] [TD]
[TD="width: 50%"] [TD="width: 5%"] |
[TABLE="class: MainText"] [TR] [TD="width: 31%, bgcolor: #ebebeb"]Aircraft |
[TABLE="class: MainText"] [TR] [TD="width: 31%, bgcolor: #ebebeb"]Aircraft |
Mdau, toa wasiwasi kuhusu hilo jina. Huyu Ndg, Chizi alishawahi kuwa Meneja Masoko wa ATCL nchini Africa Kusini, alifanya kazi nzuri hadi kuwezesha ATCL kupata abiria wengi sana. Alileta ushindani mkubwa sana kati ya ATCL na South African Airways. Baadaye aliamua kuacha kazi na kuwa mshauri ktk mambo ya biashara pamoja na huduma kwa wateja.
kwani Dar kuna potential gani?haya mabanda ya kuku yasiyokuwa na ubora wala mpango?:loco:hahahahaa kwanini tusiwape jiji la dsm tumalize kazi kabisa!
mkuu mashirika mengi ya afrika yanakodisha mitumba hiyo usiogope swala ni uongozi na plan za biashara tu kuendeleza kampuni basi...wish them all the best..wakila wakumbuke na vya keshoWana onge aki siasa zaidi.Hiyo ndege ni mtumba na bila shaka imekodishwa.
wataimarika wakimshirikisha mungu na kuacha kwenda kwa waganga...hakika mungu anaweza na kuirudisha atcl ilipotoka kwa nia njema tu nasema hili
wameekodisha tena ndege wakishindwa kulipa watatoa bandari ipi? ya Tanga?