Ndege mkubwa kuliko ndege wote duniani

Ndege mkubwa kuliko ndege wote duniani

f68f2a24d3984010758dbef899512b2e.jpg
Mbuni yupo katika order inayofahamika kama STRUTHIONIFORMES na family yake ni STRUTHIONIDAE na jina lake la kisayansi (scientific name ) ni STRUTHIO CAMELUS. Mbuni ndiye ndege mkubwa kuliko wote duniani na ndege hawa wanapatikana barani Africa pekee. Mbuni anafikia hadi urefu wa futi 7 mpaka 8 na uzito wake ni 130-150KG na anataga mayai kuanzia 6-12 na hutamia kwa siku 40 na yai lake moja lina uzito wa kg 1.6 na pia yai lake moja lina mayai 24 ya kanga. Na katika kipindi cha kutamia mayai familia ya mbuni huchagua dume mkuu na jike mkuu ambao watashirikiana katika kuyatamia, dume atatamia usiku kutokana na yeye kuwa na rangi nyeusi na jike atatamia mchana kwa sababu yeye ana rangi ya kijivu (grey colour ). Na huwa wanafanya hivi kwa sababu hawa ndege wana kitu kinachoitwa camouflage colour (Rangi ya manyoya yao ambayo inaendana na mazingira wanayoishi) kwa hiyo dume akitamia usiku itakuwa ni vigumu kuonekana na maadui kutokana na rangi yake nyeusi ambayo humfanya asionekane na maadui kwa urahisi halikadhalika kwa upande wa jike yeye hutamia mchana kutokana na rangi yake ya kijivu ambayo humfanya afananie na nyasi na vifaranga vya mbuni hupevuka vikishafikisha miaka 3-5. Hawa ndege huwa wanaishi katika familia na dume huweza kujamiana na jike yoyote yule katika ile familia. Mbuni pia ndiye ndege mwenye kasi zaidi nchi kavu na anauwezo wa kukimbia hadi kilometers 70 kwa saa pia mbuni katika miguu yake ana vidole vyenye kwato mbili kwa kila miguu ambayo humuwezesha yeye kuweza kumudu mazingira yake anayoishi pia kumuokoa na hatari ya maadui kwa kukimbia pale anapovamiwa. Mbuni ni ndege ambaye hana uwezo wa kuruka kama ndege wengine yeye hutegemea tu kasi katika kujihami na maadui na zipo sababu sinazomfanya mbuni asiweze kuruka kama ndege wengine, sababu ya kwanza ni uzito wake mkubwa na pia katika miguu yake ana kitu kinachoitwa uroto (borne marrow, kwa wale wanaokula makongoro kuna mafuta yanayopatikana katikati ya miguu hayo ndiyo borne marrow ), sababu nyingine inayomfanya mbuni asiweze kuruka ni kuwa hawana kitu kinachoiwa keel ( mfupa unaopatikana maeneo ya kifuani ambayo humuwezesha ndege kuruka ), sababu nyingine ni kuwa mifupa ya mabega yake imeungana kwa pamoja ambayo humuwia vigumu yeye kuweza kuruka na pia uchache wa manyoya yake. Tofauti kubwa kati ya jike na dume la mbuni ni rangi, jike anakuwa na rangi ya kijivu na dume anakuwa na rangi nyeusi pia jike anakuwa mdogo kuliko dume na pia manyoya ya mbuni hutumika kutengenezea vitu kama wallet, hand bag, viatu pamoja na na jackets. Na miguu yake mirefu pamoja na shingo yake refu humuwezesha kuona mbali na hata kuwaona maadui kwa ukaribu zaidi. Mbuni ni ndege ambao hawategemei sana kunywa maji kwa sababu wao hupata maji yao kutoka katika majani wanayokula pia wakati mwingine hula wadudu, mijusi na na rodent wadogo wadogo na maadui wakubwa wa mbuni ni simba, cheetah, pamoja na binadamu ambao huwawinda kwa sababu ya nyama. Na maisha yao kwa ujumla ni miaka 50 na hapa Tanzania sehemu nzuri ya kuwaona hawa ndege ni NGORONGORO CRATER, TARANGIRE NATIONAL PARK na SERENGETI NATIONAL PARK.
Asante sana mkuu
 
Mungu wetu ni wa ajabu
Yan kwa Maelezo mafupi tu ya huyu ndege inatosha kuamini kweli Mungu yupo na si wa kawaida japo wapo watu na eti "wamesoma" wanakwambia Mungu hayupo na kama yupo wanakwambia thibitisha...Hv hz elimu tunazosoma ni kwa ajili ya ajira au kuelimika?
 
Nimeipenda hii,ana kilo 130 -150 na ana urefu wa futi 6 - 8,na yai lake lina uzito wa kilo 1.6.( Ukiumpata nyama yake ni sawa na kumpata ng'ombe,huku yai lake moja ni chakula cha watu hata watatu.)
 
Hii nimeipenda
 
Ni kweli mkuu yai lake moja mnawezalitumia familia ya watu watano kwa breakfast na mkashiba
 
Nimeipenda hii,ana kilo 130 -150 na ana urefu wa futi 6 - 8,na yai lake lina uzito wa kilo 1.6.( Ukiumpata nyama yake ni sawa na kumpata ng'ombe,huku yai lake moja ni chakula cha watu hata watatu.)
I wish nitakuja kula yai la Mbuni aisee
 
wanafugwa kwa kibal lakin....nliwah shuhudia misheni moja huko pawaga wakifugwa lkn nyuki ndo adui namba moja wa mbuni yaan dakika tu anauawa
Dah ngoja niandae mazingira. Inabidi wakae mbali na nyuki.
 
Sijawahi kuulizia mkuu lkn huwa wanauza kwa kificho si unajua ni nyara mkuu?
 
f68f2a24d3984010758dbef899512b2e.jpg
Mbuni yupo katika order inayofahamika kama STRUTHIONIFORMES na family yake ni STRUTHIONIDAE na jina lake la kisayansi (scientific name ) ni STRUTHIO CAMELUS. Mbuni ndiye ndege mkubwa kuliko wote duniani na ndege hawa wanapatikana barani Africa pekee. Mbuni anafikia hadi urefu wa futi 7 mpaka 8 na uzito wake ni 130-150KG na anataga mayai kuanzia 6-12 na hutamia kwa siku 40 na yai lake moja lina uzito wa kg 1.6 na pia yai lake moja lina mayai 24 ya kanga.

Mkuu nisaidie hapo kwenye red sijaelewa hapo.....una maanisha mbuni anatotoa na kanga at the same time???
 
Hapana nimemaanisha yai moja la mbuni lina mayai 24 ya kanga. Yaani ukubwa wa yai la mbuni inabidi uunganishe mayai 24 ya kanga ndo yafikie ukubwa wa yai la mbuni
 
Back
Top Bottom