Ndege mkubwa kuliko ndege wote duniani

Ndege mkubwa kuliko ndege wote duniani

Hapo kuna manyoya mifupa utumbo miguu nk, vinakuwa exceptions
mkuu havitazid kilo 20 aiseee nina uzoefu na ndege hyu anafugwa sana huku nlipo na kuna mwaka nlikuwa mhudum wa zizi la mbuni yaan kuwapa chakula na maji pia kusafisha zizi lao
 
Hilo ninalitekeleza kwa umakini kabisa. Vipi kuhusu hivi vyakula vya kisasa, havina impact yoyote kwenye hii ishu?
Yap pia usipende kula vyakula vilivyokobolewa yaani mfano kama ni unga wa ugali usikoboe kabla ya kusaga we saga tu hivyohivyo na usipende kutumia madawa ovyo bila kufuata ushauri wa daktari maana mengine yana madhara. Nakumbuka kuna jirani yetu mmoja mke wake alipewa dawa za kuongeza nguvu za kike aisee huweziamini zile dawa zilimfanya mgumba wa maisha kwa hiyo usipende tu kutumia madawa ovyo maana unaweza ukaongeza tatizo badala ya kutatua tatizo
 
Ni kweli Mkuu.

Hii ndiyo huitwa ECO-SYSYTEM.Yaani sote tunaishi kwa kutegemeana.Tumewazidi maarifa Samaki,Ngombe,Mbuzi nk ndio maana tunawala.Nao pia wameizidi mimea maarifa.The same kwa samaki,kawazidi maarifa baadhi ya wadudu.

GOD is awesome.
Kabisa Mkuu hata mimea itakuwa inawanyonge wao
 
Yap pia usipende kula vyakula vilivyokobolewa yaani mfano kama ni unga wa ugali usikoboe kabla ya kusaga we saga tu hivyohivyo na usipende kutumia madawa ovyo bila kufuata ushauri wa daktari maana mengine yana madhara. Nakumbuka kuna jirani yetu mmoja mke wake alipewa dawa za kuongeza nguvu za kike aisee huweziamini zile dawa zilimfanya mgumba wa maisha kwa hiyo usipende tu kutumia madawa ovyo maana unaweza ukaongeza tatizo badala ya kutatua tatizo
Yaani huu ushauri umenikumbusha juu ya ushauri wa Shehe Kipozeo kuhusu masuala ya kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa
 
Lakini nimekumbuka kitu,zamani kidogo (Kama miaka 10 iliyopita) nilisoma kitabu cha Alfa Lela Ulela.
Humo nilisoma ndege mkubwa kuliko wote duniani anaitwa Rock,ukubwa wake ni sawa na mti.
Hii ikoje?
Japo ya siku nyingi....

Hiyo hadithi ya ndege wa rock, ni ile ambayo ndege alinyanyua mawe makubwa na kuvunja jahazi?

Any way alfu lela ni hadith za kusadikika!
 
Back
Top Bottom