Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,857
- 1,543
Ha! Ha! Dah! Umenifanya nicheke peke yangu sebureni, yaan mod waondoe uzi ha! ha! Yaani kuna watu wakifa humu jamii forum mimi naacha kabisa jamii forum yenyewe, mmoja wewe.Yaani mbuni ana life expectancy kubwa kuliko mtanzania...Dah mods ondoeni huu Uzi