kwanza hii sio ndege hii ni air balloonAir buss 250 psnger na hilo dubwaha abiria 50. Ukubwa unamaanisha nini?
kwanza hii sio ndege hii ni air balloon
Limekaa kama kupekwanza hii sio ndege hii ni air balloon
Mambo yakienda sawa, hii ndiyo itakuwa ndege kubwa zaidi duniani. Kwa sasa, ndege aina ya Airbus A380-800 ndiyo ndege kubwa zaidi duniani. Ina uwezo wa kubeba aibiria zaidi ya 250!
Hah hah haha
A380 ina uwezo wa mpk 500 depending on sitting configuration know that one with 250 has private cabins plus washrooms to take shower in the first class also a bar!Boeing 747 (Jumbo Jet) ina uwezo wa kubeba abiria kati ya 400 na 600!
mbona ton 50 cha mtoto?tani 50 ni sawa na abiria 500 Saint Ivuga kwa watu wenye wastani wa kilo mia
kuna antonov flani hivi,hizi mnaongelea hapa ni wajukuu
Mizigo kidogo abiria wengi.............abiria kidogo mizigo mingi........... Ndege zina namna,zipo zenye abiria wengi mizigo kidogo na zenye mizigo kidogo abiria wengi..