Ndege Iliyopotea ndio hii?

Ndege Iliyopotea ndio hii?

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
76,278
Reaction score
108,286
j2.jpg
 
Moderators sula la ndege kupotea ni critical na watu wamo ndani halihitaji mchezo. Ondoeni uzushi huu.
 
Kumbe imenasa hapo? Na waliokuwemo ndani ndo wameingia hapo kupoza koo kidogo au?
 
Mkuu watu8 dah nilijibu bila kusoma mleta mada!!! Leo umetoa ya mwaka kabisa, mbona umetuhamisha kusikiliza rasimu yakatiba tukashukuru imepatikana.
 
Yaani jirani jana ulipotoka kazini sijui ulipita wapi????? Lol.
 
Moderators sula la ndege kupotea ni critical na watu wamo ndani halihitaji mchezo. Ondoeni uzushi huu.

Mkuu nimetumia uandishi unaohitaji fikra ya kina...ndio maana sijataja jina la shirika la ndege hivyo bado sio uzushi
 
Kama utanusurika ban basi una bahati sana.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Watu8 hukustahili kubandika hii post hapa, tuombe msamaha kwa kweli.
 
watu8 ameuliza tu kama n yenyewe naana alikuwa hajui kama n yenyewe ama la, istoshe aliiona juu ya mti, akajua ime stack pale.
 
Moderators mbona mnabadilisha heading ya habari yangu baanaaa....

Je hamjasoma tamathali za semi za lugha ya Kiswahili?

Kwa nini hamjanitumia PM kuniambia mnataka kubadili heading?

Ona sasa mnapotosha dhana nzima ya nilichotaka kukiwakilisha...

Please Invisible au Moderator futa tu hii thread maana haina mantiki tena kwa mlichokifanya....
 
Last edited by a moderator:
watu8 hii si ipo pale kibaha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom