Ndani ya Rock city

he he hey Kabakabana uko na option kibao....kwa sasa ni saa nne na dakika arobaini usiku kuna mpira nenda Gold Crest Hotel level 8 then baada ya hapo...kama wataka mziki leo taarabu villa park ....kitu mdudu maeneo ya bwiru waambie kwa bonda watakupeleka……..nini kama wewe ni mdada..saloon nenda kwa florah…wataka shooping nenda mitaa ya salma cone..kuna maduka…so many viwanja..club kesho na kesho kuta..nenda Rock Bottom down kabisa ya gold crest….samaki wataka fresh wa kwenda nao dar..kutoka ziwani jioni ni PM nina baharia mmoja anaaweza kukuletea samaki 13 mpaka 14 kwenye ndoo kwa 50k…

What else…wadada powa wapo ila sishauri sana..vila..kuna mhudumu anao wa uhakika sio wezi na unaweza wa tress anytime…nayo yahitaji PM..
Wataka samaki wa kuchomwa…mishikaki ya samaki?....Aspen ni wazuri kwa hilo…vila nao ni wazuri….

It dependz ka we ni wa kishua beta ukale bata malaika, gold crest au kiwanja cha nyegez kinaitwa shafick, w2 co weng uko bt chaukwel balaa, mbuz katorik nawakubal wa kirumba resor au sansiro hotel pale nyakato ka ni wa uswaz subil wenzako waje wakupe raman za makoroboi, vitunguu na mabatin

hehehe thanx much mkuu
 
dah umenikosha kweli, hapo aspen pananihusu
 
quote_icon.png
By Junior. Cux

Karibu Mwanza....Sitantoka mwanza mpaka kihama...foleni ni kutoka Buzuruga mpaka Lango lango....Kuna Cheap hotel kama Kimbice....safi kabisa, zingine nyingi mtaa wa kwenda airpork ghana hapo..wewe tu faranga yako less than 50k unalala unoni...nini tena tuseme..uliza.
 
dah umenikosha kweli, hapo aspen pananihusu

Niko na wewe mpaka saa sita za usiku za mwanza...nikusaidie nini ..... driver tax..out going lady or men..trusted company...tell me hotel uliko...I wil walk you from there....mwanza sitoki.
 
Karibu Mwanza....Sitantoka mwanza mpaka kihama...foleni ni kutoka Buzuruga mpaka Lango lango....Kuna Cheap hotel kama Kimbice....safi kabisa, zingine nyingi mtaa wa kwenda airpork ghana hapo..wewe tu faranga yako less than 50k unalala unoni...nini tena tuseme..uliza.

hadi kembice mkuu ushafanya kazi, emh nambie sh ngap pale rumz coz huwa napita 2 kwnda lavena s.market bt naogpa ata kuulzia bei ya maji..
 
Niko na wewe mpaka saa sita za usiku za mwanza...nikusaidie nini ..... driver tax..out going lady or men..trusted company...tell me hotel uliko...I wil walk you from there....mwanza sitoki.

niko antonio hotel,ndo nimemaliza kula
 
Aisee night usisahau kwenda stone mpya iliyoko njia ya feri....pa ukweli mbaya
 
Utakuwa mitaa kwa muda gani bi shost ?
Nimepeleka samaki zangu wilayani nikirudi nitakucheki..
 
kabakabana ni a she or a he?maana watu wanamwelekeza hadi wanapouza machangudoa na yeye haclarify!au ni lesbian?whether a he or a she,nenda kiwanja kipya the rock bottom club,hiki kiwanja nilikiona kupitia kipindi cha zamakale(yani kam jukebox flani)kupitia star tv..it rocks
 
hadi kembice mkuu ushafanya kazi, emh nambie sh ngap pale rumz coz huwa napita 2 kwnda lavena s.market bt naogpa ata kuulzia bei ya maji..

Pale highest ni 45k per night na unapata breakfast nzuri asubuhi....reasonable price kabisa vinywaji na chakuka....wanatengeneza kuku nzuri sana...

niko antonio hotel,ndo nimemaliza kula

Hama uko mbana imeshachoka hotel hiyo na iko mbali na matukio sogea mjini hapo kati Kembice G&G and G&J Zote za ukweli...unatembea hata kwa kiwanja chochote.....Mwanza mjini hakuna vibaka .....ila usipite maeneo ya kuanzia mwanza hotel kwenda salma cone kwenye ule uchochoro sipaamini sana japo sijakabwa....

Viwanja vyote viko kati hapo...Stone mpya Opposite na TRA ya zamani....Rock Bottom ni PPF plaza hapo yaani 70m toka Stone...
Villa ndio iko Kirumba uko uliko.

Standard na mziki wa kistaarabu enda viwanja tanjwa hapo juu....Kuna mwanza hotel mziki wa zamani kila jumamosi..pata pale...
wataka vyakula vya kihidi ? Oposite na NMB kenyatta kuna mgahawa wana kuku wenye pili pili nyingi na vyakua vya kihindi!!

Wataka mishikaki? Kirumba kuna mushi...ila salma Cone kuna Kinye ana mishikaki ya ukweli...Chakula cha kawaida kabisa kama uko home...nenda villa city hapo hapo the stone ilipo ila ni mgahawa uko kwa juu...hata wali maharange unapata kwa bei pouwa...

Bank isiyo na foleni au ATM...za CRDB nenda NSSF Building,Stanbic iko moja so sio foleni sana, DTB nayo ni moja, NMB ooh Lord hakuna unafuu mpaka usiku kama ni ATM.

What else?
 
Back
Top Bottom