Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #161
Umeziona hizo fungua na funga semi kwenye hiyo "Shinyanga Hotel" hapo juu? Jibu ni kwamba hapana. Nikupe mfano ni kama ilivyo "Magomeni Kagera" dsm na hakuna dsm Kagera Bukoba. Sasa umepata picha?
nimekuelewa ila picha sijapata,