Ndani ya Rock city

Na mimi nipo Mwanza! Nipo Lakairo but kwa sasa nipoa hapa Villa Park resort! Karibu

REJAO ! Unafikaje Mwz kimyakimya ? Mimi nipo Rock City nipe Roadmap kesho nikuoneje ? Kwa Seniority yako Jf, wewe ni Afande wangu, so nashawishika tufahamiane eachother !
 
Karibu huku boko bunju ule matikiti maji na matango kwa wingi. Na imekuwaje umeenda mwanza bila kukaguliwa na babu? Ukipata mimba usinitafute.
 
Usijali mkuu...nitakuPM contacts zangu. Nitajitahidi tuonane!
 
Karibu huku boko bunju ule matikiti maji na matango kwa wingi. Na imekuwaje umeenda mwanza bila kukaguliwa na babu? Ukipata mimba usinitafute.

jamani babuu, kila siku hutaki kunikagua.,nakula raha tu hapa
 
Ukipata muda mzuri tembelea mitaa ya MAKOROBOI pale kuna yale mambo yetu ya bei poa yaani mpaka buku 1 unapewa huduma, tena unaweza hata ukala pande zote, (front & back).
 
Karibu huku boko bunju ule matikiti maji na matango kwa wingi. Na imekuwaje umeenda mwanza bila kukaguliwa na babu? Ukipata mimba usinitafute.
Watu wengine bwana... any opportunity is good to promote their agenda! dah!
 
Ukipata muda mzuri tembelea mitaa ya MAKOROBOI pale kuna yale mambo yetu ya bei poa yaani mpaka buku 1 unapewa huduma, tena unaweza hata ukala pande zote, (front & back).

nitakuja huko ndugu dah mpaka buku huku noma
 
It dependz ka we ni wa kishua beta ukale bata malaika, gold crest au kiwanja cha nyegez kinaitwa shafick, w2 co weng uko bt chaukwel balaa, mbuz katorik nawakubal wa kirumba resor au sansiro hotel pale nyakato ka ni wa uswaz subil wenzako waje wakupe raman za makoroboi, vitunguu na mabatin
 
Back
Top Bottom